Facebook Twitter Instagram
    Facebook Twitter Instagram
    A24TV News
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    A24TV News
    Home»Michezo»YANGA na Sportpesa zasaini Mkataba mpya wa Udhamini

    YANGA na Sportpesa zasaini Mkataba mpya wa Udhamini

    0
    By arushatv on July 27, 2022 Michezo

    YANGA na Sportpesa zasaini Mkataba mpya wa Udhamini

    YANGA na Sportpesa zasaini Mkataba mpya wa UdhaminiKLABU ya Yanga SC, imesaini mkataba mpya wa Udhamini Mkuu na Kampuni ya kubashiri ya Sportpesa Tanzania, wenye thamani ya Tsh 12.3B kwa miaka mitatu (3), ambayo ni sawa na 4.1B kwa kila mwaka.

    Hili ni ongezeko la Tsh bilioni 2 kwa mwaka kutoka kwenye mkataba awali wa bilioni moja kwa mwaka mmoja.

    YANGA na Sportpesa zasaini Mkataba mpya wa UdhaminiSambamba na Fedha hizo ambazo Yanga itavuna, pia Bonus zitatolewa kama ilivyoainishwa kwenye mkataba ambapo Yanga ikifanikiwa kuwa Bingwa wa Ligi Kuu atapata Bonus ya 150M.

    Yanga ikifanikiwa Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup (ASFC) itapata Bonus ya 75M na endapo itakuwa Bingwa (ASFC) itapata 112M.

    Mkataba wa awali kati ya Yanga SC na Sportpesa ulikuwa wa miaka mitano (5) wa Tsh 5.B sawa na Tsh 1 Bilioni kila mwaka katika kipindi chote cha mkataba yaani miaka mitano (5).

    Mkataba mpya wa Udhamini Mkuu wa Yanga SC vs SportPesa TanzaniaRais wa Young Africans SC Eng. Hersi Said na Mkurugenzi wa Utawala na Udhibiti SportPesa Tanzania, Ndg. Tarimba Abbas wakionyesha makubaliano ya mkataba mpya kati ya SportPesa na Young Africans

    Post Views: 142
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr WhatsApp Email
    Previous ArticlePROF.SEDOYEKA AKUTANA NA MENEJIMENTI YA NCAA NA KUHIMIZA UIMARISHAJI HUDUMA ZA UTALII
    Next Article SAKATA LA GARI LA HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA LILILOSHIKILIWA KWA MADAWA YA KULEVYA LAIBUKA TENA KWENYE KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI.

    Related Posts

    SHABIKI WA KILABU YA YANGA AJITOSA KUMSAPOTI RAIS KWA KUTOA LAKI TANO KWA KILA GOLI

    March 10, 2023

    MR & MISS MAZUBU GRAND HOTEL KUWASHA MOTO MIRERANI

    January 1, 2023

    BONANZA LA MIAKA 5 YA KAMPUNI YA MATI SUPER BRANDS LIMITED NI HISTORIA MANYARA  

    December 30, 2022

    Mzuka Nusu Fainali Chemchem CUP 2022 kuanza leo kuwania mamilion Babati.

    November 2, 2022

    Leave A Reply Cancel Reply

    Facebook Twitter Instagram Pinterest
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    © 2023 a24tv. Designed by Ishimax Ltd.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.