Facebook Twitter Instagram
    Facebook Twitter Instagram
    A24TV News
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    A24TV News
    Home»Habari»Wakulima washauriwa kuwekeza viwandani

    Wakulima washauriwa kuwekeza viwandani

    0
    By arushatv on November 3, 2022 Habari

    Njombe
    Na Emmanuel octavian

    Wakulima mkoani Njombe wameshauri wawekezaji waachane na biashara ya kuwekeza mashambani na badala yake wawekeze kwenye viwanda vitakavyowasaidia wao kupeleka mazao yao.

    Katika mkutano mkuu wa mtandao wa vikundi vya wakulima MVIWATA Tanzania katika mikoa ya Njombe na Iringa baadhi ya wanachama hao ambao ni wakulima wanasema kitendo cha wawekezaji kwenda kuwekeza mashambani kinawanyima fursa wakulima ambao ndio wahusika wakuu katika sekta ya kilimo.

    Hosea Mangula,Sikujua Mbata,John Kiswaga na Sarah kaduma ni baadhi ya wakulima wanaosema wawekezaji wanaoingia mashambani kuwekeza pia wanasababisha kuibuka kwa migogoro ya ardhi inayochochea chuki baina ya wakulima, Wawekezaji na serikali inayowaruhusu wawekezaji hao kuingia kwenye sekta ya Kilimo.

    Post Views: 78
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr WhatsApp Email
    Previous ArticleMAJI NI TATIZO PIPA MOJA SH 7000 MAGAZETI YA LEO ARUSHA 24TV
    Next Article Vijana 20 wakopeshwa pikipiki bila riba na Halmashauri ya Wilaya Makete

    Related Posts

    Kamati yapitisha makadirio ya matumizi na maendeleo 2023/2024 kwa Wizara Uwekezaji Viwanda na Biashara.

    March 23, 2023

    MWANDISHI WA HABARI MAARUFU ALLAN ISACK AITAKA NAFASI YA MNEC

    March 23, 2023

    Vyombo vya Dola na wanasheria kushirikiana kutokomeza ujangili Babati

    March 22, 2023

    JIJI LA ARUSHA LATOA MIKOPO YA SHILINGI BILION 2.6 KWA VIJANA WENYE MAITAJI MAALUM NA WANAWEKE

    March 22, 2023

    Leave A Reply Cancel Reply

    Facebook Twitter Instagram Pinterest
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    © 2023 a24tv. Designed by Ishimax Ltd.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.