Facebook Twitter Instagram
    Facebook Twitter Instagram
    A24TV News
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    A24TV News
    Home»Habari»Vijana 20 wakopeshwa pikipiki bila riba na Halmashauri ya Wilaya Makete

    Vijana 20 wakopeshwa pikipiki bila riba na Halmashauri ya Wilaya Makete

    0
    By arushatv on November 3, 2022 Habari

    Halmashauri ya Wilaya ya Makete kupitia 10% ya mapato yaa ndani imewakopesha vijana pikipiki (bodaboda) 20 kutoka Kata ya Kitulo na Iwawa.

    Kati ya vijana hao 20, vijana 10 ni kutoka Kata ya Iwawa na Vijana 10 ni kutoka kata ya Kitulo…Mkopo huo ni kiasi cha shilingi Milioni 51 na zitarejeshwa kwa kipindi cha mwaka mmoja bila riba.

    Makabidhiano hayo yamefanyika katika Viwanja vya ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Makete mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Makete Mhe. Juma Sweda, Makamu wa Halmashauri Mhe. Hawa Kader, Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya William Makufwe, Mwenyekiti wa CCM Wilaya Ndg. Clement Ngajilo, waheshimiwa Madiwani, wakuu wa Idara na vijana wa Kitulo na Iwawa

    Post Views: 86
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr WhatsApp Email
    Previous ArticleWakulima washauriwa kuwekeza viwandani
    Next Article TCRA YATOA LESENI 3132 KWA MAKUNDI 6 WASAMBAZAJI WA SIMU

    Related Posts

    Maafisa Mawasiliano na Uhusiano Serikalini waaswa kutangaza mafanikio ya utekelezaji wa MKUMBI

    March 30, 2023

    SHIRIKA La Umeme Tanzania (TANESCO), limezindua Programu ya Mpango wa miaka minne wa jinsia

    March 30, 2023

    Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi ameridhishwa maendeleo ya miradi ya ujenzi inayosimamiwa na Ofisi hiyo

    March 30, 2023

    KILELE CHA TUZO YA MWALIMU NYERERE YA UANDISHI BUNIFU ,APRIL 13 2023 KUFANYIKA DAR

    March 30, 2023

    Leave A Reply Cancel Reply

    Facebook Twitter Instagram Pinterest
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    © 2023 a24tv. Designed by Ishimax Ltd.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.