Facebook Twitter Instagram
    Facebook Twitter Instagram
    A24TV News
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    A24TV News
    Home»Habari»SITA WAFARIKI DUNIA MUME NA MKE KWA AJALI YA GARI KITETO

    SITA WAFARIKI DUNIA MUME NA MKE KWA AJALI YA GARI KITETO

    0
    By arushatv on November 8, 2022 Habari
    WATU sita kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto, sita wa kada ya afya na mmoja mwalimu, wamefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa katika ajali maeneo ya  pori namba moja Wilayani Kiteto Mkoani Manyara.
    Kwa mujibu wa taarifa kutoka kiteto, marehemu wawili ni mtu na mke wake, na walikuwa na mtoto wao wa miezi tisa ambaye amenusurika
    Akithibitisha ajali hiyo, Mkuu wa Wilaya ya Kiteto Mbaraka Batenga amesema majeruhi watano wamepelekwa Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma kwa ajili ya matibabu zaidi na wawili wamebaki katika Hospitali ya Wilaya ya Kiteto.
    Amesema ajali hiyo ilihusisha Gari la wagonjwa wa kituo cha afya Sunya likitokea  Kibaya kupeleka Mgonjwa, ambapo baada ya kumshusha Mgonjwa njiani likagingana uso kwa uso na gari aina ya Prado ambayo ilikuwa inatokea Kilindi kuelekea Kibaya.
    Post Views: 326
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr WhatsApp Email
    Previous ArticleRAIS SAMIA AMPA SHAVU KIJANA SHUJAA APELEKWA JESHINI ! MAGAZETI YA LEO ARUSHA24TV
    Next Article MKUU WA WILAYA MAKTABA SASA ZIWE KATIKA MFUMO WA KIMTANDAO KWENDANA NA KASI YA TEKNOLOJIA

    Related Posts

    Tanzania na India kuendeleza Uhusiano wa Kibiashara na Uwekezaji

    March 27, 2023

    TANZANIA YAKABILIWA NA UHABA WA MABAHARIA VIJANA.

    March 27, 2023

    Marcas Ajitosa kuwania U NEC Arusha

    March 25, 2023

    VIKUNDI 47 KUPATIWA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI MOITA MONDULI

    March 24, 2023

    Leave A Reply Cancel Reply

    Facebook Twitter Instagram Pinterest
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    © 2023 a24tv. Designed by Ishimax Ltd.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.