Facebook Twitter Instagram
    Facebook Twitter Instagram
    A24TV News
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    A24TV News
    Home»Habari»Serikali Kutengeneza Mfumo wa Kielotroniki kubaini wasio fanya Kazi Maafisa Ogani .

    Serikali Kutengeneza Mfumo wa Kielotroniki kubaini wasio fanya Kazi Maafisa Ogani .

    0
    By arushatv on November 17, 2022 Habari

    SERIKALI KUPITIA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI SEKATA YA MIFUGO IMESEMA INATARAJI KUTENGENEZA MFUMO WA KIELEKRONIKI AMBAO UTAWEZA KUBAINI MAAFISA OGANI WASIO FANYA KAZI KWA KUONA KAZI ZINAZOENDELEA WAKIWA KWENYE MAENEO YA KAZI IKIWEMO KUTOA USAHAURI KWA WAFUGAJI PAMOJA NA KUTIBU MIFUGO.

    HAYO YAMEBAINISHWA NA KATIBU MKUU WIZARA YA MIFUGO UVUVI TIXON NZUNDA AKIWA HAPA MJINI MAKABAKO MKOANI NJOMBE WAKATI AKIFUNGUA MAFUNZO YALIYOWAKUTANISHA MAOFISA MIFUGO KUTOKA MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI AMBAPO PIA AMESEMA ILI KULINDA AFYA ZA MIFUGO NA WATUMIAJI SERIKALI KUPITIA WIZARA YA MIFUGO INATARAJIA KUJENGA MAJOSHO 260 NDANI YA MWAKA WA FEDHA 2022-2023.

    BAADHI YA WADAU NA VIONGOZI WA SERIKALI AKIWEMO KATIBU TAWALA WA WILAYA YA NJOMBE EMANUEL GEORGE WANASEMA ILI KUINUA SEKTA YA UFUGAJI MAAFISA MIFUGO WANATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA KUTOA ELIMU KUWASAIDIA WAFUGAJI KUFANYA UFUGAJI BIASHARA AMBAO UNATENGENEZA FAIDA KUBWA NA HAUATHIRI MAZINGIRA.

    BAADHI YA MAAFISA UGANI WAMEIOMBA SERIKALI KUENDELEA KUTATUA CHANGAMOTO ZINAZOIKABILI SEKTA HIYO.

    Post Views: 67
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr WhatsApp Email
    Previous ArticleUWT NJOMBE WATAKIWA KUVUNJA MAKUNDI
    Next Article OLE SABAYA AKUBALIYAISHE ! ADAI ANATESEKA TU ,MAGAZETI YA LEO NA ARUSHA 24TV

    Related Posts

    Tanzania na India kuendeleza Uhusiano wa Kibiashara na Uwekezaji

    March 27, 2023

    TANZANIA YAKABILIWA NA UHABA WA MABAHARIA VIJANA.

    March 27, 2023

    Marcas Ajitosa kuwania U NEC Arusha

    March 25, 2023

    VIKUNDI 47 KUPATIWA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI MOITA MONDULI

    March 24, 2023

    Leave A Reply Cancel Reply

    Facebook Twitter Instagram Pinterest
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    © 2023 a24tv. Designed by Ishimax Ltd.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.