Facebook Twitter Instagram
    Facebook Twitter Instagram
    A24TV News
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    A24TV News
    Home»Uncategorized»NABII GEOR DAVIE AGAWA BAJAJI KWA VIJANA WABADILISHA MAISHA TUMEJENGA NYUMBA NZURI

    NABII GEOR DAVIE AGAWA BAJAJI KWA VIJANA WABADILISHA MAISHA TUMEJENGA NYUMBA NZURI

    0
    By arushatv on November 24, 2022 Uncategorized

    Na Geofrey Stephen Arusha

    Kiongozi mkuu wa huduma ya Ngurumo ya upako yenye makao makuu jijini Arusha,Mh Dkt Nabii Geor Davie ameendelea kuwa baraka kwa wahitaji wenye mahitaji ya kimwili pamoja na kiroho kwa kuwapa vijana bajaji na piki piki .

    Aidha Nabii Dkt Geor Davie amekuwa mwangaza hata kwa taasisi za Serikali kwa kuwa amejijengea tabia ya kuwasaidia kwenye maitaji mbalimbali wakiwemo Askari Magereza .

    Wakizungumza na Arusha 24Tv Vijana waliopewa BajajiĀ  na kusema kwamba kwa sasa wamefanikiwa katika Maisha kwani Nabii Dkt Geor Davie.amekua Msaada kwa Vijana na kina Mama jambo ambalo ni baraka sana kwao .

    “Baba amekuwa ni msaada mkubwa sana hasa kwa jamii ambazo zinawaitaji,ukiangalia hata upande wa wasanii nao wamepewa misaada na mpaka wengine wamepewa magari kabisa

    Wapo wasanii ambao wanamtumikoa Mungu tena kwenye mazingira magumu hawana mtu wa kuwasaidia lakini baba Dkt Geor Davie amekuwa akiwaona,mwaka jana msanii Good luck Hozbert alipewa gari,na kama haitoshi ametoa tena kwa msanii ajulikanaye kama Mkaliwao na wote tukiangalia namna ambavyo vijana hao wanamtukuza Mungu “waliongeza

    Vijana hao kwa pamoja wamemshukuru Nabii Mkuu Geor Davie kwa Msaada huo wa bajaji na wamesema familia zao zimekua na Maisha Mazuri kwani hapo awali walikua wanaendesha bajaji za mkopo ambazo wasipofikisha maesabu wanalazimika kunyanganywa na maboss wao

    Aidha wamesema kwamba mpaka sasa wamenunua Viwanja vya kujenga nyumba za kuoshi na familia zao hulu pesa zingine wakianzisha miradi mbali mbali kwa lengo la kujikwamua kimaisha

    Baraka David na Elirehema Wamesema kwamba likubwa wanacho jivunia kutoka kwa Nabiii Geo Davie ni kwamba angalii mtu wa kumsaidia bali yeyote atakaye kua na uwitaji anamtia moyo na kumshika mkono huku akiwapa maneno ya faraja kwamba waongeze bidii katika kujituma kufanya kazi na kuondokana na umaskini

    Mwisho

     

    Post Views: 44
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr WhatsApp Email
    Previous ArticleWAZIRI KIJAJI TUTUMIE LUGHA YA KISWAHILI KUONDOA CHANGAMOTO ZA KIBIASHARA
    Next Article RAIS SAMIA AWAPA UJUMBE MAWAKILI WA EAC EPUKENI RUSHWA ! MAGAZETI YA LEO NA ARUSHA24TV

    Related Posts

    SHEHENA LA MBOLEA ILIYO JAZWA MCHANGA YAKAMATWA WAZIRI ATOA MAAGIZO MAZITO

    March 5, 2023

    Wadau wa Tehama mkoani Arusha watakiwa kutoa ushirikiano kuhakikisha uwepo wa kituo cha ubunifu wa Tehama.

    February 28, 2023

    KATIBU TAWALA MKOA WA ARUSHA ASISITIZA MAFUNZO KUTOKA TUME YA USHINDANI NCHINI

    February 23, 2023

    TANESCO NCHINI KUTEKELEZA MIRADI YA UZALISHAJI UMEME, KUONDOA CHANGAMOTO KWA JAMII

    February 23, 2023

    Leave A Reply Cancel Reply

    Facebook Twitter Instagram Pinterest
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    © 2023 a24tv. Designed by Ishimax Ltd.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.