Facebook Twitter Instagram
    Facebook Twitter Instagram
    A24TV News
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    A24TV News
    Home»Habari»MWINJILISTI WA KANISA LA MATAIFA YOTE APATA MAONO LENGAI OLE SABAYA KUACHIWA HURU ATAKUA KIONGOZI TENA

    MWINJILISTI WA KANISA LA MATAIFA YOTE APATA MAONO LENGAI OLE SABAYA KUACHIWA HURU ATAKUA KIONGOZI TENA

    0
    By arushatv on November 18, 2022 Habari

    Mwinjilist Eva Kaaya wa kanisa la Mataifa yote amepata
    Maono kutoka kwa Mwenyezi Mungu aliyempa juu ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai  Mkoani kilimanjaro Lengai Ole  sabaya .

    Akizungumza na A24tv Mwinjilisti Eva Amesema kwamba wakati akiendelea na Maombi Mungu akamuonyesha  amemridhia na anaenda kumtoa kwenye vifungo na mashtaka yote ndani ya wiki moja kuanzia tarehe. 15 November 2022.

    Mwinjilisti wa kanisa la Mataifa yote Eva kaaya  amefafanua kwamba maono hayo ambayo Mungu amemuoyesha ni kwamba Damu ya Yesu imemsafisha na atakua safi kwa  hivyo atatoka katika vifungu na kua huru .

    Amesema kwamba kwa Sabaya Atarudi tena madarakani baada ya muda akiwa kiongozi mpya katika Kristo.
    Haya ndiyo maono aliyonionyesha Yesu Kristo alfajiri ya tareha 15 November 2022.

    Hivi karibu kumekuwepo na mamneno kwamba Legai Ole Sabaya wenda akaachiwa kua huru mara baada ya kukubaliana na masharti ya kukiri makosa yanayo mkabili mara baada ya ya wafuasi wake kumtangulia kukiri na kupigwa faini na kuachiwa wacha tuone maono ya Mwinjilisti Eva wa makani yote ya kimafaifa

    Mwisho

    Post Views: 216
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr WhatsApp Email
    Previous ArticleOLE SABAYA AKUBALIYAISHE ! ADAI ANATESEKA TU ,MAGAZETI YA LEO NA ARUSHA 24TV
    Next Article LATRA ARUSHA SASA NI LESENI ZA MAGARI MAKUBWA YA ABIRIA WAMILIKI WAJIPANGE

    Related Posts

    Tanzania na India kuendeleza Uhusiano wa Kibiashara na Uwekezaji

    March 27, 2023

    TANZANIA YAKABILIWA NA UHABA WA MABAHARIA VIJANA.

    March 27, 2023

    Marcas Ajitosa kuwania U NEC Arusha

    March 25, 2023

    VIKUNDI 47 KUPATIWA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI MOITA MONDULI

    March 24, 2023

    Leave A Reply Cancel Reply

    Facebook Twitter Instagram Pinterest
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    © 2023 a24tv. Designed by Ishimax Ltd.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.