Facebook Twitter Instagram
    Facebook Twitter Instagram
    A24TV News
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    A24TV News
    Home»Habari»MAKAA YA MAWE YATAJWA KUPANDA BEI MARA DUFU KUTOKANA NA VITA VYA UKRAINE NA URUSI

    MAKAA YA MAWE YATAJWA KUPANDA BEI MARA DUFU KUTOKANA NA VITA VYA UKRAINE NA URUSI

    0
    By arushatv on November 25, 2022 Habari

    Na Mwandishi wa A24Tv .

    Dkt Fredrick Gilenga afisa madini mkoa wa Njombe amesema Kutokea kwa vita vya Ukraine na Urusi kumepelekea uhitaji mkubwa wa madini ya makaa ya mawe na kupelekea bei yake kupaaa zaidi.

    Dkt.Gilenga ametoa kauli hiyo katika kikao Cha ushauri mkoa wa Njombe RCC ambapo amesema uwepo wa makaa ya mawe mkoani Njombe Ni fursa kubwa inayoweza kuuingizia mkoa fedha nyingi za kigeni.

    Makaa ya mawe kwa mkoa wa Njombe yanapatikana Wilaya ya Ludewa ambayo yanaweza kuchimbwa kwa miaka 100 huku wawekezaji wakitaja changamoto kubwa ya miundombinu ya barabara kuwa ni kikwazo.

    Post Views: 131
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr WhatsApp Email
    Previous ArticleDKT ,MPANGO AWATAKA WAITIMU WA VYUO VIKUU KULETA MABADILIKO KATIKA TAIFA USUSANI MATUMIZI YA TEHAMA
    Next Article RUSHWA CCM JANGA LA TAIFA ! MAGAZETI YA LEO NA ARUSHA24TV

    Related Posts

    Kamati yapitisha makadirio ya matumizi na maendeleo 2023/2024 kwa Wizara Uwekezaji Viwanda na Biashara.

    March 23, 2023

    MWANDISHI WA HABARI MAARUFU ALLAN ISACK AITAKA NAFASI YA MNEC

    March 23, 2023

    Vyombo vya Dola na wanasheria kushirikiana kutokomeza ujangili Babati

    March 22, 2023

    JIJI LA ARUSHA LATOA MIKOPO YA SHILINGI BILION 2.6 KWA VIJANA WENYE MAITAJI MAALUM NA WANAWEKE

    March 22, 2023

    Leave A Reply Cancel Reply

    Facebook Twitter Instagram Pinterest
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    © 2023 a24tv. Designed by Ishimax Ltd.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.