Facebook Twitter Instagram
    Facebook Twitter Instagram
    A24TV News
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    A24TV News
    Home»Makala»WANANCHI WENGI WAOMBA ELIMU KUHUSU MADINI KUTOLEWA MASHULENI

    WANANCHI WENGI WAOMBA ELIMU KUHUSU MADINI KUTOLEWA MASHULENI

    0
    By arushatv on October 11, 2022 Makala

    Na Mwandishi wa A24Tv .

    Wananchi wengi kutoka katika mkoa wa Pwani na mikoa ya jirani wameomba elimu kuhusu madini kujumuishwa kwenye mitaala ya shule za msingi na sekondari na kuhamasisha wanafunzi wengi kujiunga zaidi kwa shahada ya jiolojia katika vyuo vikuu nchini na kuongeza wataalam kwenye Sekta ya Madini.

    Waliyazungumza hayo kwenye kilele cha Maonesho ya Tatu ya Uwekezaji na Biashara yaliyofanyika katika Viwanja vya SIDO, Maili Moja Mkoani Pwani Oktoba 10, 2022 ambayo yalilenga kutangaza fursa za uwekezaji zilizopo katika mkoa wa Pwani.

    Wakizungumza kwa nyakati tofauti wananchi hao waliomba Serikali kupitia Wizara ya Madini kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kutengeneza mitaala ya elimu ya madini kama mkakati mmoja wapo wa kukuza waalam wa madini nchini.

    Matukio katika picha .

     

    Post Views: 81
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr WhatsApp Email
    Previous ArticleTUME YA MADINI YAENDELEA KUIPAISHA SEKTA YA MADINI
    Next Article WANANCHI WAFUKUZA DAKTARI KISA ULEVI NA MAJIBU MABOVU

    Related Posts

    ASKOFU MASANGWA AKOSHWA NA MCHUNGAJI ALIYETUMIKIA KANISA KWA MIAKA34 AMEACHA ALAMA KUBWA

    February 26, 2023

    MZEE MOLLEL AZIKWA KIJIJINI KWAKE WANANCHI WAMWAGA MACHOZI WAZMIA WAKIAGA MWILI WAKE

    February 7, 2023

    WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amezindua zoezi la ugawaji wa vishikwambi 293400 Kwa walimu wote nchini

    November 5, 2022

    PROFESA KIKULA AAINISHA MIKAKATI YA TUME YA MADINI KWENYE UBORESHAJI WA SEKTA YA MADINI

    October 13, 2022

    Leave A Reply Cancel Reply

    Facebook Twitter Instagram Pinterest
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    © 2023 a24tv. Designed by Ishimax Ltd.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.