Facebook Twitter Instagram
    Facebook Twitter Instagram
    A24TV News
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    A24TV News
    Home»Makala»DKT. BITEKO ATEMBELEA BANDA LA WIZARA YA MADINI NA TAASISI ZAKE KWENYE MAONESHO YA MADINI GEITA

    DKT. BITEKO ATEMBELEA BANDA LA WIZARA YA MADINI NA TAASISI ZAKE KWENYE MAONESHO YA MADINI GEITA

    0
    By arushatv on October 2, 2022 Makala

    Na Mwandishi wa A24Tv Geita .

    Waziri wa Madini, Dkt. Doto Biteko akiwa ameambatana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Adolf Ndunguru na Kamishna wa Madini Nchini, Dkt. Abdulrahman Mwanga leo tarehe 01 Oktoba, 2022 ametembelea Banda la Wizara ya Madini na Taasisi zake kwenye Maonesho ya Tano ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini yanayoendelea katika Viwanja Bombambili mjini Geita.

    Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutembelea maonesho, sambamba na kupongeza kwa maandalizi mazuri ameelekeza waoneshaji kuendelea kutoa elimu kuhusu fursa za uwekezaji zilizopo kwenye Sekta ya Madini ili wananchi wengi waweze kushiriki na kunufaika.

    “Nitoe wito kuwa elimu hii iwe endelevu kwa wananchi kwa ujumla ili waweze kushiriki kikamilifu katika Sekta ya Madini,” amesisitiza Dkt. Biteko.

    Post Views: 56
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr WhatsApp Email
    Previous ArticleBILIONI 4 TOKA MILTENBURG UJERUMANI KUBORESHA MAZINGIRA MJI WA NJOMBE
    Next Article Makamu wa Rais wa AngloGold Ashanti atembelea Banda la Tume ya Madini, TGC kwenye Maonesho ya Madini Geita.

    Related Posts

    ASKOFU MASANGWA AKOSHWA NA MCHUNGAJI ALIYETUMIKIA KANISA KWA MIAKA34 AMEACHA ALAMA KUBWA

    February 26, 2023

    MZEE MOLLEL AZIKWA KIJIJINI KWAKE WANANCHI WAMWAGA MACHOZI WAZMIA WAKIAGA MWILI WAKE

    February 7, 2023

    WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amezindua zoezi la ugawaji wa vishikwambi 293400 Kwa walimu wote nchini

    November 5, 2022

    PROFESA KIKULA AAINISHA MIKAKATI YA TUME YA MADINI KWENYE UBORESHAJI WA SEKTA YA MADINI

    October 13, 2022

    Leave A Reply Cancel Reply

    Facebook Twitter Instagram Pinterest
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    © 2023 a24tv. Designed by Ishimax Ltd.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.