Facebook Twitter Instagram
    Facebook Twitter Instagram
    A24TV News
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    A24TV News
    Home»Makala»ZIARA YA MBIBO KWENYE BANDA LA TUME YA MADINI KATIKA MAONESHO YA MADINI GEITA

    ZIARA YA MBIBO KWENYE BANDA LA TUME YA MADINI KATIKA MAONESHO YA MADINI GEITA

    0
    By arushatv on September 28, 2022 Makala

    Na Mwandishi wa A24Tv na Geita

    Zifuatazo ni picha za matukio mbalimbali katika ziara ya Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Msafiri Mbibo kwenye Banda laTume ya Madini katika Maonesho ya Tano ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini yaliyofanyika katika viwanja vya Bombambili Mjini Geita tarehe 28 Septemba, 2022.

    Katika ziara yake amewataka wananchi wa mkoa wa Geita na mikoa ya jirani kujitokeza kwa wingi kwenye maonesho hayo, kwa ajili ya kupata elimu ya namna wanavyoweza kunufaika kwenye Sekta ya Madini sambamba na kupata majibu ya kero zao

    Post Views: 63
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr WhatsApp Email
    Previous ArticleTUME YA MADINI YAENDELEA KUWANOA WACHIMBAJI WA MADINI KWENYE MAONESHO YA MADINI GEITA
    Next Article MIKOA 11 HATARINI KUPATA, EBOLA ! MAGAZETI YA LEO NA ARUSHA24TV

    Related Posts

    ASKOFU MASANGWA AKOSHWA NA MCHUNGAJI ALIYETUMIKIA KANISA KWA MIAKA34 AMEACHA ALAMA KUBWA

    February 26, 2023

    MZEE MOLLEL AZIKWA KIJIJINI KWAKE WANANCHI WAMWAGA MACHOZI WAZMIA WAKIAGA MWILI WAKE

    February 7, 2023

    WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amezindua zoezi la ugawaji wa vishikwambi 293400 Kwa walimu wote nchini

    November 5, 2022

    PROFESA KIKULA AAINISHA MIKAKATI YA TUME YA MADINI KWENYE UBORESHAJI WA SEKTA YA MADINI

    October 13, 2022

    Leave A Reply Cancel Reply

    Facebook Twitter Instagram Pinterest
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    © 2023 a24tv. Designed by Ishimax Ltd.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.