Facebook Twitter Instagram
    Facebook Twitter Instagram
    A24TV News
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    A24TV News
    Home»Makala»KARIBUNI KWENYE BANDA LA TUME YA MADINI KWENYE MAONESHO YA MADINI GEITA

    KARIBUNI KWENYE BANDA LA TUME YA MADINI KWENYE MAONESHO YA MADINI GEITA

    0
    By arushatv on September 29, 2022 Makala

    Na Mwandishi wa A24Tv Geita .

    Tume ya Madini inawakaribisha wadau wa madini na wananchi wote kutoka katika Mkoa wa Geita na mikoa mingine nchini kwenye banda lake lililopo kwenye Maonesho ya Tano ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini yanayoendelea katika Viwanja vya Bombambili, mjini Geita.

    Elimu inatolewa katika maeneo mbalimbali ikiwa ni pamoja na fursa za uwekezaji katika sekta ya madini, taratibu za upatikanaji wa leseni za madini nchini, biashara ya madini na taratibu za usalama wa afya na mazingira kwenye migodi ya madini.

    Maeneo mengine ni pamoja na namna watanzania wanaweza kushiriki katika Sekta ya Madini kupitia utoaji wa huduma mbalimbali kwenye migodi ya madini na mchango wa kampuni za uchimbaji wa madini kwenye jamii.

    Pia tunatoa huduma ya usajili wa leseni za madini kwa njia ya mtandao (Online Mining Cadastral Transactional Portal) na upimaji wa madini ya metali.

    Nyote mnakaribishwa.

    Post Views: 72
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr WhatsApp Email
    Previous ArticleMIKOA 11 HATARINI KUPATA, EBOLA ! MAGAZETI YA LEO NA ARUSHA24TV
    Next Article MARUFUKU KUWALISHA MAKANDE WATOTO KILA SIKU

    Related Posts

    ASKOFU MASANGWA AKOSHWA NA MCHUNGAJI ALIYETUMIKIA KANISA KWA MIAKA34 AMEACHA ALAMA KUBWA

    February 26, 2023

    MZEE MOLLEL AZIKWA KIJIJINI KWAKE WANANCHI WAMWAGA MACHOZI WAZMIA WAKIAGA MWILI WAKE

    February 7, 2023

    WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amezindua zoezi la ugawaji wa vishikwambi 293400 Kwa walimu wote nchini

    November 5, 2022

    PROFESA KIKULA AAINISHA MIKAKATI YA TUME YA MADINI KWENYE UBORESHAJI WA SEKTA YA MADINI

    October 13, 2022

    Leave A Reply Cancel Reply

    Facebook Twitter Instagram Pinterest
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    © 2023 a24tv. Designed by Ishimax Ltd.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.