Facebook Twitter Instagram
    Facebook Twitter Instagram
    A24TV News
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    A24TV News
    Home»Habari»MARUFUKU KUWALISHA MAKANDE WATOTO KILA SIKU

    MARUFUKU KUWALISHA MAKANDE WATOTO KILA SIKU

    0
    By arushatv on September 29, 2022 Habari

     

    Na Emmanuel octavia

    Mkuu wa Wilaya ya Njombe Kissa Kasongwa amewataka wananchi  kuachana na mtindo wa kula chakula Cha aina moja hususani Kan
    de wakati wote kwani kunachangia kwa kiasi kikubwa kushamiri kwa udumavu.

    MARUFUKU KUWALISHA MAKANDE WATOTO KILA SIKU

    Kasongwa ametoa kauli hiyo akiwa katika vijiji vya Itunduma na Sovi kata ya mtwango katika ziara yake ya kijiji kwa kijiji katika halmashauri ya wilaya ya Njombe ambapo amesema kitendo cha watoto kushindia kande wakati wote kinasababisha utapimlo kwao jambo ambalo halifai katika ustawi wa watoto.

    Aidha mkuu huyo wa walaya amekiri kuwa wananchi wa wilaya ya Njombe wamekuwa wachapakazi kwelikweli lakini isiwe sababu ya kuwaacha watoto wawe wanakula Cha aina moja ilihali kuna kila aina ya vyakula na matunda ambayo wengi hawayatumii kwa chakula zaidi ya biashara.

    Amesema kuna haja ya kuweka msako wa ambao hawali matunda kwani mlo kamili unahusisha matunda kwa asilimia kubwa

    Post Views: 74
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr WhatsApp Email
    Previous ArticleKARIBUNI KWENYE BANDA LA TUME YA MADINI KWENYE MAONESHO YA MADINI GEITA
    Next Article GAMBO AVUNJA UKIMYA,ADAI YUKO TAYARI KUACHIA UBUNGE WA ARUSHA MJINI.

    Related Posts

    Tanzania na India kuendeleza Uhusiano wa Kibiashara na Uwekezaji

    March 27, 2023

    TANZANIA YAKABILIWA NA UHABA WA MABAHARIA VIJANA.

    March 27, 2023

    Marcas Ajitosa kuwania U NEC Arusha

    March 25, 2023

    VIKUNDI 47 KUPATIWA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI MOITA MONDULI

    March 24, 2023

    Leave A Reply Cancel Reply

    Facebook Twitter Instagram Pinterest
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    © 2023 a24tv. Designed by Ishimax Ltd.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.