Facebook Twitter Instagram
    Facebook Twitter Instagram
    A24TV News
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    A24TV News
    Home»Makala»AFISA MADINI MKOA WA GEITA AWATAKA WADAU WA MADINI KUJITOKEZA KWENYE MAONESHO YA MADINI GEITA

    AFISA MADINI MKOA WA GEITA AWATAKA WADAU WA MADINI KUJITOKEZA KWENYE MAONESHO YA MADINI GEITA

    0
    By arushatv on September 30, 2022 Makala

    Na Mwandishi wa A24Tv Geita .

    _Aendelea kutoa huduma kwenye banda…_

    Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Geita Mhandisi Laurent Bujashi amewataka wadau wa madini katika mkoa wa Geita na maeneo ya jirani kutembelea Banda la Tume ya Madini katika Maonesho ya Tano ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini yanayoendelea katika viwanja vya Bombambili Mkoani Geita.

    Sambamba na kuwataka wadau wa madini kufika kwenye banda la Tume, akiwa katika banda hilo, ameendelea kutoa huduma mbalimbali kama vile vibali vya kusafirisha madini na kusajili wateja kwenye mfumo wa usimamizi wa leseni za madini kwa njia ya mtandao (online mining cadastre transactional portal).

    Matukio katika picha wadau wa madini wakipata maelezo kutoka banda la tume ta madiniĀ 

    Akielezea Siku ya Madini iliyofanyika leo katika ukumbi mdogo wa Mwalimu Nyerere ikiwa ni sehemu ya maonesho amesema kuwa jukwaa limekutanisha wadau mbalimbali wa madini kwa lengo la kupeana taarifa mbalimbali na kubadilishana uzoefu katika Sekta ya Madini hususan Ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya Madini.

    Post Views: 93
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr WhatsApp Email
    Previous ArticleWIZARA YA MAJI, NISHATI NA MADINI ZANZIBAR YATEMBELEA BANDA LA TUME YA MADINI, TGC KWENYE MAONESHO YA MADINI GEITA
    Next Article RAIS SAMIA ACHARUKA VUMBI LA CONGO! MAGAZETI YA LEO ARUSHA24TV

    Related Posts

    ASKOFU MASANGWA AKOSHWA NA MCHUNGAJI ALIYETUMIKIA KANISA KWA MIAKA34 AMEACHA ALAMA KUBWA

    February 26, 2023

    MZEE MOLLEL AZIKWA KIJIJINI KWAKE WANANCHI WAMWAGA MACHOZI WAZMIA WAKIAGA MWILI WAKE

    February 7, 2023

    WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amezindua zoezi la ugawaji wa vishikwambi 293400 Kwa walimu wote nchini

    November 5, 2022

    PROFESA KIKULA AAINISHA MIKAKATI YA TUME YA MADINI KWENYE UBORESHAJI WA SEKTA YA MADINI

    October 13, 2022

    Leave A Reply Cancel Reply

    Facebook Twitter Instagram Pinterest
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    © 2023 a24tv. Designed by Ishimax Ltd.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.