Facebook Twitter Instagram
    Facebook Twitter Instagram
    A24TV News
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    A24TV News
    Home»Habari»Waziri Mwigulu tozo ya miamala kupungua

    Waziri Mwigulu tozo ya miamala kupungua

    0
    By arushatv on June 14, 2022 Habari
    Dodoma .

    Serikali inatarajia kufanya marekebisho kwenye sheria ya mifumo ya malipo ya Taifa kwa kupunguza tozo ya muamala wa huduma za fedha katika simu za viganjani.

    Hayo yamesemwa bungeni leo Jumanne Juni 14, 2022 na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba wakati akisoma hatuba ya mapendekezo ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2022/23.

    Akisoma kipengere cha sheria ya mifumo ya malipo ya taifa, Dk Mwigulu amependekeza kufanya marekebisho kwenye mfumo huo.

    “Napendekeza kupunguza tozo ya muamala kutoka kiwango kisichozidi Sh7, 000 hadi kiwango kisichozidi Sh4,000 katika kila muamala wa kutuma au kutoa pesa.

    “Punguzo hili ni sawa na asilimia 43 ya kiwango cha sasa. Sambamba na hilo, napendekeza kuongeza wigo wa tozo hiyo ili kuhusisha miamala yote ya kielektroniki. Lengo la hatua hii ni kupunguza makali ya maisha kwa Mtanzania hasa katika kipindi hiki cha changamoto kubwa ya kiuchumi na kuweka usawa katika utozaji wa tozo hiyo,” amesema Dk Mwigulu.

    Post Views: 64
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr WhatsApp Email
    Previous ArticleKAZI INAENDELEA YA UTATUZI WA MIGOGORO – IKUNGI
    Next Article Tanzania yapiga Hatua katika Mawasiliano Africa Mashariki Rwanda

    Related Posts

    Kamati yapitisha makadirio ya matumizi na maendeleo 2023/2024 kwa Wizara Uwekezaji Viwanda na Biashara.

    March 23, 2023

    MWANDISHI WA HABARI MAARUFU ALLAN ISACK AITAKA NAFASI YA MNEC

    March 23, 2023

    Vyombo vya Dola na wanasheria kushirikiana kutokomeza ujangili Babati

    March 22, 2023

    JIJI LA ARUSHA LATOA MIKOPO YA SHILINGI BILION 2.6 KWA VIJANA WENYE MAITAJI MAALUM NA WANAWEKE

    March 22, 2023

    Leave A Reply Cancel Reply

    Facebook Twitter Instagram Pinterest
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    © 2023 a24tv. Designed by Ishimax Ltd.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.