Facebook Twitter Instagram
    Facebook Twitter Instagram
    A24TV News
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    A24TV News
    Home»Habari»WAZIRI KIJAJI AKUTANA NA MJUMBE WA WAZIRI MKUU WA UINGEREZA WATETA UWEKEZAJI MKUBWA

    WAZIRI KIJAJI AKUTANA NA MJUMBE WA WAZIRI MKUU WA UINGEREZA WATETA UWEKEZAJI MKUBWA

    0
    By arushatv on December 2, 2022 Habari

    Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt.

    Ashatu Kijaji (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo kuhusu Fursa za uwekezaji zilizopo Tanzania na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza Masuala ya Biashara Bw. Lord Walney alieambatana na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. David Concar katika Ofisi ndogo zilizopo Dar es salaam Novemba 30, 2022.

    Waziri Kijaji amemhakikishia Mjumbe huyo kuwa Tanzania iko tayali kuendela kushirikiana na Uingereza katika kuendeleza sekta ya biashara na uwekezaji na iko tayali kupokea wawekezaji kutoka nchini humo.

     

    Post Views: 72
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr WhatsApp Email
    Previous ArticleWAZIRI KIJAJI AKUTANA WAEKEZAJI FURSA ZIKO KARIBUNI TANZANIA
    Next Article HABARI KUBWA KATIKA MAGAZETI YA LEO NA ARUSH24TV

    Related Posts

    SERIKALI YAFUNGIA MGODI WA GEM AND ROCK VENTURE ULIOKO MIRERANI

    March 20, 2023

    TRA CHUNYA KUSAMBAZA ELIMU YA MLIPA KODI KWA WACHIMBAJI WA DHAHABU.

    March 16, 2023

    Wizara ya Madini imefanikiwa kutaifisha madini ya Tanzanite yenye uzito wa kilo 4 yenye thamani ya mamilioni ya fedha  kutoka kwa Meneja wa Mgodi wa Gem & Rock Venture

    March 16, 2023

    DKT. KIRUSWA AZINDUA MFUMO WA USHIRIKISHWAJI WA WATANZANIA KATIKA SEKTA YA MADINI

    March 16, 2023

    Leave A Reply Cancel Reply

    Facebook Twitter Instagram Pinterest
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    © 2023 a24tv. Designed by Ishimax Ltd.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.