Facebook Twitter Instagram
    Facebook Twitter Instagram
    A24TV News
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    A24TV News
    Home»Habari»SIO YA KUKOSA DAY TRIP UTALII WA NDANI TUMUUNGE MAMA MKONO

    SIO YA KUKOSA DAY TRIP UTALII WA NDANI TUMUUNGE MAMA MKONO

    0
    By arushatv on September 10, 2022 Habari

    Katika kuunga jitiada za Mh Rais Samia Suluhu Hassan kutangaza utalii wa hapa nchiji Campuni ya utalii ya Jungle of Kilimanjaro Trips jnakuletea Safari ya Day Trip Tarehe 24 September 2022

    Imeandaliwa na Compuni ya utalii ya Jungle of Kilimanjaro trips ,

    Nia ya trip hii nikuwakutanisha wadau kutoja setor tofautitofauti ,, na Dhumuni kubwa ni kutangaza utalii wa ndani na kivutio hiki hadimu cha LAKE CHALA ,,

    Watu wendi hawafahamu kuhusu Lake Chala na maajabu yake ,,! Sasa hii ni nafasi pekee ya kujua na kuunga mkono juhudi za mama kwani Wanawake ni jeshi kubwa ,,

    Jambo lingine ni kushawish Wanawake kuweza kudhiriki katika kuutangaza utalii wa ndani

    Post Views: 140
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr WhatsApp Email
    Previous ArticleMALKIA ELIZABETH ALILIWA KILA KONA YA DUNIA ! KWA WEMA WAKE MAGAZETI YA LEO NA ARUSHA 24TV
    Next Article YANGA,SIMBA ZANGA,RA KIMATAIFA MAGAZETI YA LEO NA ARUSHA24TV

    Related Posts

    Kamati yapitisha makadirio ya matumizi na maendeleo 2023/2024 kwa Wizara Uwekezaji Viwanda na Biashara.

    March 23, 2023

    MWANDISHI WA HABARI MAARUFU ALLAN ISACK AITAKA NAFASI YA MNEC

    March 23, 2023

    Vyombo vya Dola na wanasheria kushirikiana kutokomeza ujangili Babati

    March 22, 2023

    JIJI LA ARUSHA LATOA MIKOPO YA SHILINGI BILION 2.6 KWA VIJANA WENYE MAITAJI MAALUM NA WANAWEKE

    March 22, 2023

    Leave A Reply Cancel Reply

    Facebook Twitter Instagram Pinterest
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    © 2023 a24tv. Designed by Ishimax Ltd.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.