Facebook Twitter Instagram
    Facebook Twitter Instagram
    A24TV News
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    A24TV News
    Home»Habari»RAIS SAMIA SULUHU AWAAPISHA WAKUU WA MIKOA PAMOJA NA MAKATIBU TAWALA WEWE NI MTUNDU SANA UMEKUA

    RAIS SAMIA SULUHU AWAAPISHA WAKUU WA MIKOA PAMOJA NA MAKATIBU TAWALA WEWE NI MTUNDU SANA UMEKUA

    0
    By arushatv on August 1, 2022 Habari

    KIAPO !

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Fatma Abubakar Mwasa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Agosti, 2022. 

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Halima Omari Dendego kuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Agosti, 2022.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Albert John Chalamila kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Agosti, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Meja Jenerali Suleiman Mungiya Mzee kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Agosti, 2022. 

    Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala walioapishwa pamoja na Viongozi wa Taasisi mbalimbali za Serikali wakila Kiapo cha Maadili kwa Viongozi katika hafla ya Uapisho iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Agosti, 2022. 

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Hamis Juma, Waziri wa TAMISEMI Innocent Bashungwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Hussein Kattanga, Katibu wa Chama cha Mapinduzi CCM Daniel Chongolo kwenye picha ya pamoja na Wakuu wa Mikoa mara baada ya tukio la Uapisho, Ikulu Jijini Dar es Salam tarehe 01 Agosti, 2022. 

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwaapisha Wakuu wa Mikoa pamoja na Makatibu Tawala kwenye hafla ya Uapisho iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Agosti, 2022.

    Post Views: 75
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr WhatsApp Email
    Previous ArticleWAZIRI AWESO AMALIZA MZIZI WA FITNA KARATU,AAGIZA BEI YA MAJI IWE 1,300 UNITI MOJA.
    Next Article GAWIO LA MASHIRIKA CHANGA ! MVUTANO MKALI MAGAZETI YA LEO NA ARUSHA24TV

    Related Posts

    SERIKALI YAFUNGIA MGODI WA GEM AND ROCK VENTURE ULIOKO MIRERANI

    March 20, 2023

    TRA CHUNYA KUSAMBAZA ELIMU YA MLIPA KODI KWA WACHIMBAJI WA DHAHABU.

    March 16, 2023

    Wizara ya Madini imefanikiwa kutaifisha madini ya Tanzanite yenye uzito wa kilo 4 yenye thamani ya mamilioni ya fedha  kutoka kwa Meneja wa Mgodi wa Gem & Rock Venture

    March 16, 2023

    DKT. KIRUSWA AZINDUA MFUMO WA USHIRIKISHWAJI WA WATANZANIA KATIKA SEKTA YA MADINI

    March 16, 2023

    Leave A Reply Cancel Reply

    Facebook Twitter Instagram Pinterest
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    © 2023 a24tv. Designed by Ishimax Ltd.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.