Facebook Twitter Instagram
    Facebook Twitter Instagram
    A24TV News
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    A24TV News
    Home»Habari»MARIDHIANO NDIO NJIA PEKEE YA KUPATA SULUHU YA MIGOGORO YA ARDHI

    MARIDHIANO NDIO NJIA PEKEE YA KUPATA SULUHU YA MIGOGORO YA ARDHI

    0
    By arushatv on July 22, 2022 Habari

    Na Mwandishi wa A24Tv. Monduli

    Hali isiyo ya Kawaida imeibuka katika kata ya Majengo Wilayani Monduli Baina ya vijiji vya Losirwa,Majengo ,Mungere,na Baraka baada ya wakulima kushikilia Mifugo ya wafugaji kwa Madai ya kuwaingiza kwenye Mashamba yao .

    “Nilipigiwa simu nikiwa Naelekea Mswakini kwenye Mazishi ya wale watoto 5 wa familia moja , ikabidi nifike na kuwapa pole familia , ndugu na Majirani kwanza ili niweze kufika na hapa Majengo kutokana na taharuki baina ya wakulima na wafugaji ninachoweza kusema MARIDHIANO ndiyo Njia pekee ya kupata Suluhu ya kudumu juu ya mgogoro huu naomba viongozi wa Eneo husika kukaa pamoja na Kuweka MARIDHIANO ili kutafuta Suluhu ya kudumu sisi wote ni ndugu tunategemea”.mbunge Fredrick Lowassa.

    Awali wafugaji wakati wakizungumza mbele ya Mbunge huyo wamemuomba mbunge huyo , kuomba kuachiiliwa kwa ndugu zao walioshikiliwa na polisi ili waweze kusema changamoto zao ndipo mbunge huyo kuomba kuachiliwa kwa mwananchi na polisi Kumruhusu kuachiliwa, na kuomba kufanyika kwa Maridhiano ya kudumu .

    Nao baadhi ya wakulima wamesema Hawataachia Mifugo Hiyo hadi wapate Suluhu ikiwemo pia kulipwa Fidia ya Mazao yao yaliyoharibika.

    Post Views: 75
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr WhatsApp Email
    Previous ArticleIGP ABEBESHWA ZIGO ZITO LA HAKI MAGAZETI YA LEO NA ARUSHA24TV
    Next Article WAREMBO MISS JUNGLE WAPONGEZA UWEKEZAJI MKUBWA WA FRANONE MINING TUTAKUA MABALOZI !

    Related Posts

    Kamati yapitisha makadirio ya matumizi na maendeleo 2023/2024 kwa Wizara Uwekezaji Viwanda na Biashara.

    March 23, 2023

    MWANDISHI WA HABARI MAARUFU ALLAN ISACK AITAKA NAFASI YA MNEC

    March 23, 2023

    Vyombo vya Dola na wanasheria kushirikiana kutokomeza ujangili Babati

    March 22, 2023

    JIJI LA ARUSHA LATOA MIKOPO YA SHILINGI BILION 2.6 KWA VIJANA WENYE MAITAJI MAALUM NA WANAWEKE

    March 22, 2023

    Leave A Reply Cancel Reply

    Facebook Twitter Instagram Pinterest
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    © 2023 a24tv. Designed by Ishimax Ltd.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.