Facebook Twitter Instagram
    Facebook Twitter Instagram
    A24TV News
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    A24TV News
    Home»Break News»Bunge la Afrika Mashariki limewapongeza na kuwaenzi Hayati Spika Mstaafu wa Bunge la Uganda Jacob Oulanya na Hayati Rais Mstaafu wa Kenya Mwai Kibaki kwa kudumisha demokrasia na utawala bora.

    Bunge la Afrika Mashariki limewapongeza na kuwaenzi Hayati Spika Mstaafu wa Bunge la Uganda Jacob Oulanya na Hayati Rais Mstaafu wa Kenya Mwai Kibaki kwa kudumisha demokrasia na utawala bora.

    0
    By arushatv on June 9, 2022 Break News

    Na Geofrey Stephen Arusha

    Bunge la Afrika Mashariki limewapongeza na kuwaenzi Hayati Spika Mstaafu wa Uganda  Mashariki Jacob Oulanya na Hayati Rais Mstaafu wa Kenya Mwai Kibaki kwa kudumisha demokrasia na utawala bora.

    Akichangia hoja hiyo Mbunge wa Afrika Mashariki Fatuma Ndangiza amesema kwamba ipo haja kwa Bunge hilo japo hakuna sheria ikawekwa ili kuendelea kuwaenzi viongozi na kujenga Utamaduni huo.

    Amesema kwamba ukiangalia nchi ya Kenya imekuwa ikisifika kwa katiba bora,hapa utaona mchango mkubwa uliotolewa na Hayati Mwai Kibaki kujenga Demokrasia Wakati wa uongozi wake.

    Alisema viongozi hao ni wakupigiwa mfano na kuendelezwa kwa Bunge hilo kuendelea kuwaenzi kukumbuka mchango wao kwa Taifa lao na mataifa ndani ya Jumuiya.

    “Mwai Kibaki alianzisha Katiba na kutoa mchango mkubwa ili nchi iwe na katiba Sasa hivi miongoni mwa katiba ya viwango ni ya Kenya hii inasaidia nchi kuwa na Amani” alisema Ndangiza.

    Alisema Bunge hilo linahitajika kuendelea kujenga Utamaduni huo kiwa endelevu kukumbuka viongozi wetu kwa wabunge kuleta muswada ili iingie kwenye sheria za Jumuiya yetu.

    Alisema kwamba Hayati Spika Jacob alisaidia domokrasia alitoa mchango kwa jamii kuwasaidia wenye maisha ya chini na yatima na kuendeleza domokrasia hili litawasaidia vijana.

    Alisema kwamba Jamii zetu katika nchi za Jumuiya yetu zijenge Utamaduni wa kuwaenzi viongozi waliotenda. makubwa na kujenga misingi ya ukombozi demokrasia na utawala bora.

    Post Views: 69
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr WhatsApp Email
    Previous ArticleWABUNGE WA EALA WATOA MAONI YAO KUPUNGUA KWA BAJETI YA EAC MJADALA MZITO BUNGENI
    Next Article KESI YA MAKONDA YAPIGWA CHINI! ALIFUNGUA KUBENEA MAGAZETI YA LEO ARUSHA24TV

    Related Posts

    MKURUGENZI WA JIJI LA ARUSHA AMETOA MILION 33 KUNUNUA UNGA WA LISHE KWA WENYE MAHITAJI MAALUM

    February 9, 2023

    KOREA KUSINI NA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA WALETA PIKI PIKI MPYA ZA KUTUMIIA UMEME

    February 5, 2023

    BREAKING NEWS : MUSA JUMA MWENYEKITI MPYA JOWUTA SERIKALI YAAHIDI USHIRIKIANO

    January 29, 2023

    WAFANYA BIASHARA SAMUNGE JIJINI ARUSHA WAPOKEA MILLIONI 100 KUTOKA KWA NABII MKUU GEORDAVIE WAHIDI MAKUBWA KATIKA KUKUZA MITAJI YAO

    January 27, 2023

    Leave A Reply Cancel Reply

    Facebook Twitter Instagram Pinterest
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    © 2023 a24tv. Designed by Ishimax Ltd.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.