Site icon A24TV News

ZIARA YA MBIBO KWENYE BANDA LA TUME YA MADINI KATIKA MAONESHO YA MADINI GEITA

Na Mwandishi wa A24Tv na Geita

Zifuatazo ni picha za matukio mbalimbali katika ziara ya Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Msafiri Mbibo kwenye Banda laTume ya Madini katika Maonesho ya Tano ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini yaliyofanyika katika viwanja vya Bombambili Mjini Geita tarehe 28 Septemba, 2022.

Katika ziara yake amewataka wananchi wa mkoa wa Geita na mikoa ya jirani kujitokeza kwa wingi kwenye maonesho hayo, kwa ajili ya kupata elimu ya namna wanavyoweza kunufaika kwenye Sekta ya Madini sambamba na kupata majibu ya kero zao