Author: arushatv

Na Mwandishi wa A24Tv Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda leo Julai 17, 2023 jijini Dar es Salaam amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia Nchini Tanzania Bw. Nathan Belete na ujumbe wake. Kikao hicho kilikuwa na lengo la kujadili mpango pendekezwa wa utekelezaji wa mageuzi ya Elimu na ushirikiano na Benki ya Dunia katika utekelezaji huo. Aidha wamekubaliana kuboresha miradi ya BOOST na SEQUIP ili iweze kukidhi kuwezesha mahitaji ya utoaji elimu ujuzi pamoja na kujadili maendeleo ya Miradi mingine katika ngazi ya elimu ya ufundi.

Read More

Na Richard Mrusha Mkurugenzi wa Shule za Alpha High School ,Fatina Mbwambo amesema Mwitikio ni mzuri wa watu kujitokeza kupima vipaji lakini utangazaji wake bado haujafanywa kikamilifu tofauti na nchi zingine wametangaza na watu wanagombania lakini hapa nchini ni mara ya kwanza.. amesema tangu kuingia mashine hiyo kwa mara ya kwanza nchini mwanzoni mwa Mwaka huu kupitia shule ya Sekondari Alpha tayari watu 31 wamepimwa vipaji. Amesema waandishi wa habari kaweni mabalozi mkaitagazie umma kuwa Tanzania pia imapeta bahati ya kupata hiii teknolojia kwasababubu baadhi ya nchi wamewatumia waandishi wa habari kutangaza hii teknolojia. “Kilichotuongoza kufanya hivyo mara nyingi tunaona…

Read More

Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Missaile Mussa amesisitiza wakulima na wauzaji wa mbegu nchini kuzalisha mbegu Bora zenye kuongeza lishe Ili kuwa na jamii yenye Afya Bora na kukuza Pato lao sanjari na kulima Kwa tija. Ameyasema hayo wakati akifungua maonesho ya kibiashara Tari Selian Jijini Arusha yenye kauli mbiu,”Kabiliana na mabadiliko ya tabia nchi tumia teknolojia bunifu za kilimo Kwa uhakika wa chakula na kipato” ambapo aliwakilishwa na Katibu Tawala Msaidizi Uchumi na Uzalishaji Mali Mkoa wa Arusha Daniel Leiruk. Aidha amesema imeelekezwa kwamba kilimo kinahitajika kuwa na mchango Kwa mtu mojamoja na nchi Kwa ujumla katika Afya na…

Read More

Na Mwandishi wa A24tv . Msemaji mkuu wa taasisi ya Twariqa Tulikadiriya Jailania Tanzania Shekhe Haruna Hussein amewataka wanasheria ambao wamekwenda mahakamani kupinga suala la Uwekezaji wa Bandari hapana nchini badala yake wakutane na Mheshimiwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ili kuweka sawa Jambo Hilo Kwa maslahi mapana ya Taifa. Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Arusha shekhe Haruna alisema kwamba kitendo Cha kwenda mahakamani ni kumdhalilisha Amiri Jeshi Mkuu. “Kila Mwanasiasa ana haki ya kutoa maoni yake lakini kwenda mahakamani sio sahihi badala yake watangulize hofu ya Mungu,na waombe kukutana na Mheshimiwa Raisi na Kwa vile ni…

Read More