Author: arushatv

Na Mwandishi wa A24Tv . BAKWATA Wilayani Siha mkoani Kilimanjaro waomba Serikali kuzipa uwezo Hospitali za Wilaya na mkoaBaraza kuu la WaislamuTanzania (BAKWATA), Wilayani siha mkoani Kilimanjaro,limeitaka Serikali kuweka mkakati thabiti ya kuzipa uwezo Hospitali za ndani ikiwamo za Wilaya na mkoa ili kupunguza gharama kwa Wananchi kwende kufuata matibabu sehemu nyingine ikiwamo nje ya Nchi. Kauli hiyo imesemwa na Ramadhani Mollel katibu wa Baraza hilo wakati Viongozi wa BAKWATA Wilaya pamoja na waumini walipotembelea nyumbani Sheikh wa mkoa huo Shaabani Mlewa Mara baada ya kurejea Nchi kutokea India alilokuwa kwa matibabu ya macho Akizungumza nyumbani kwe Sheikh Bomang’ombe Wilayani…

Read More

Na Mosses Mashala . Mke wa Rais wa Zanzibar , Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe.Mama Mariam Mwinyi amezindua programu ya kugawa taulo za kike (Tumaini Kits) katika viwanja vya Jadida Wilaya ya Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba 29 Machi 2024. Aidha Programu hiyo inafadhiliwa na Shirika la UNICEF kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu Zanzibar, pamoja na Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) kwa usambazaji wa Taulo za kike 1000 Unguja na Pemba. Viongozi mbalimbali wameshiriki akiwemo Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa, Mkuu wa…

Read More

Mbunge wa jimbo la Simanjiro mkoani Manyara ,Christopher Ole Sendeka amenusurika kuuwawa baada ya watu wasiojulikana kuliahambuliangari lake kwa risasi mapema leo jioni hii. Taarifa za uhakika kutoka Simanjiro zinaeleza kwamba Mbunge huyo pamoja na dereva wake wote wamenusurika baada ya gari lao kushambuliwa kwa risasi wakati wakiwa jimboni humo. Baadhi ya mashuhuda waliokuwepo katika eneo hilo wameeleza kwamba walisikia milio ya risasi ikishmbulia gari hilo kabla ya washambuliaji kutokomea kusikojulikana. A24 inaendelea kufuatilia taarifa hizi kwa ukaribu zaidi na itakuletea taarifa za kina kuhusu tukio hili endelea kuwa karibu nasi. Mwisho .

Read More

Naitwa Esma Said kutokea Mombasa nchini Kenya, baadhi ya wanawake wamekuwa na wivu ya jinsi tunavyoishi na mume wangu, wengine huwa wanakuja kuniuliza nimewezaje kumtuliza mume wangu wakati wa kwao wanakuwa na michepuko mingi. Kuna Mama mmoja alinieleza kuwa mume wake amekuwa akilipwa mshahara nzuri na marupurupu kibao kazini lakini fedha nyingi huwa zinaishia kwa mchepuko ambao ameupangishia na nyumba na mara nyingi hulala huko kwa kisingizo ameenda safari ya kikazi. Alifika mbali na kusema endapo mume wake angekuwa ametulia ndani ya ndoa angekuwa na maendeleo sana tatizo ana michepuko mingi ambayo anatumia fedha kubwa kuihudumia. Watu wengi wamekuwa wakisifia…

Read More

Jina langu ni Matias kutokea Machakos nchini Kenya, kwa sasa ni miongoni mwa wafanyabiashara waliofanikiwa sana katika eneo letu, ila kufika hapa haikuwa nahisi hata kidogo, kulikuwa na milima na mabonde. Unajua kwanini nasema hivyo? Hapa duniani kila binadamu anapenda kuona anakua katika biashara ambayo anaifanya, anapenda kuona biashara yake inaongezeka mtaji, biashara yake inamletea maisha mazuri au mengine makubwa zaidi ya kiuchumi. Ndivyo ilivyokuwa na kwangu kipindi nafungua biashara yangu ya kuuza nafaka kutokea mashambani, nilikuwa na matazamio makubwa biashara hii itaweza kunifikisha mbali sana kimaisha. Hata hivyo, matamio yangu yalikuwa ni kunyume kabisa na kile ambacho nilienda kukumbana…

Read More