Author: arushatv

Na Mwanfishi wa A24Tv Monduli . Mbunge Wa jimbo la Monduli Fredrick Lowassa Ameendelea na Ziara yake katika jimbo hilo,kwa Lengo la kukagua Miradi ya Maendeleo , ilani ya Chama Cha Mapinduzi CCM, kusikiliza na kutatua Kero Mbalimbali za Wananchi katika Kata ya  Selela . Akizungumza wakati wa ukaguzi wa jengo jipya la Bweni la wanafunzi katika Shule ya Sekondari Oltinga,  Wakati akisomewa taarifa ya jengo hilo Changamoto kubwa iliyoonekana ni uhitaji wa vitanda 104 Ambapo mbunge huyo alikubali kuichukua kama changamoto na kuahidi kufanyia kazi kwa wakati mfupi ili wanafunzi wapate pa kulala. “Tumefika hapa tumetembea na tumezungumza na…

Read More

Na Mpsses Mashala Zanzibar . Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amehimiza suala la nidhamu, maadili, uwajibikaji, uadilifu, mshikamano, umoja na upendo baina ya viongozi na watendaji wa Serikali katika kutenda haki kwa wananchi. Rais Dk.Mwinyi amesema hayo katika Kongamano la Kiimani kwa Viongozi na Watendaji Wakuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar lililoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais na kuratibiwa na Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar ukumbi wa Idrissa Abdul-Wakil Kikwajuni, Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 6 Aprili 2024. Aidha Rais Dk.Mwinyi amesema suala la nidhamu sio kwa Majeshi peke…

Read More

Mwandishi wetu,Dar es Salaam Mfuko wa Mazingira Duniani(GEF) kupitia Programu ya Ruzuku Ndogo inayotekelezwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) limesaini makubaliano ya kutoa sh 4.04 bilioni kwa mashirika yasiyo ya kiserikali 44 nchini ili kutekeleza miradi ya Uhifadhi wa Mazingira, Misitu, kuendeleza ufugaji nyuki, kutunza vyanzo vya Maji na uwezeshaji Jamii kiuchumi. Utiaji saini wa Makubaliano hayo umefanyika leo April 4,2024, katika Makao Makuu ya Jengo la Umoja wa Mataifa nchini Tanzania na kuongozwa na Mwakilishi Mkaazi wa UNDP ndugu Shigeki Komatsubara. Miongoni mwa mashirika yaliyosaini mkataba kupatiwa fedha hizo ni shirika la Wanahabari wa jamii…

Read More

Na Bahati Hai mkimbiza Mwenge kitaifa Godfrey Mzava amewataka wananchi kote Nchini kuwakataa na kuwapiga vita viongozi wanaotoa rushwa ili wachaguliwe kwenye nafasi mbalimbali za uongozi. Hayo yamesemwa leo Wilayani siha mkoani Kilimanjaro na mkimbinza Mwenge huyo kitaifa wakati wa uzinduzi wa jengo la wagonjwa mahuti katika Hospitali ya magonjwa ambukizi kibongoto Wilayani ikiwa na kauli “tunza mazingira na shiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa kwa ujenzi wa taifa endelevu”. Mzava anewataka wananchi kujitokeza kwa wingi katika uchaguzi wa Serikali za mitaa kugombea nafasi mbalimbali za uongozi huku akiwataka wananchi kuwachagua viongozi waadilifu na wanaochapwa kazi. “Kwa kuwa mwaka huu…

Read More