Author: arushatv

Na Mwandishi wa A24Tv .Arusha Baraza la Ushindani (FCT) limeandaa mafunzo kwa wadau wake wakiwemo wafanyabiashara, watoa huduma na walaji ikiwemo jamii kwa lengo la kuwaelimisha kuhusu shughuli za Baraza la Ushindani na umuhimu wake katika Uchumi wa Soko. Akifungua mafunzo hayo Aprili 9, 2024 jijini Arusha., Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Arusha anayehusika na viwanda, biashara, na uwekezaji, Bw. Frank Mmbando, alipongeza juhudi za FCT katika kuimarisha ushindani wa haki na ulinzi wa watumiaji. “Elimu hii ni muhimu sana kwa wadau wote katika Soko, itawezesha wadau kutambua haki na wajibu wao, kukuza ushindani wa haki, kuongeza uwajibikaji, na kutatua…

Read More

Na Mwandishi wa A24tv Arusha. Benki ya NMB imefanikisha jumla ya Wanafunzi 390 kupata viti vya kukalia baada ya kugawa Madawati 130 kwa shule tatu za jamii ya kifugaji zilizoko wilayani Monduli Mkoa wa Arusha. Shule hizo ni Sokoine waliopatiwa madawati 50, Ngarash waliopatiwa madawati 50 na Orarash walioapatiwa madawati 30 zote zikiwa na thamani ya zaidi ya Sh. 15 Milioni. Akizungumza wakati wa kukabidhi madawati hayo, Meneja wa NMB kanda ya Kaskazini,Baraka Ladislaus amesema kuwa msaada huo ni sehemu ya faida wanayoipata wameamua kuirudisha kwa jamii. Amesema Kuwa Benki ya NMB imejiwekea vipaumbele sekta nne katika kurudisha faida kwa…

Read More

Na Geofrey Stephen Arusha . Siku chache baada ya Mwenyekiti wa chama cha mawakala wa utalii Tanzania (TATO) Wilbard Chambulo kuituhumu Halmashauri ya jiji la Arusha kudai kuwa ameilipa Halmashauri hiyo milioni 24 kwenye kodi aliyokuwa akidaiwa lakini akashangazwa kuona taarifa za malipo alizopatiwa zinaonesha kuwa amelipa milioni tatu (3) pekee hivyo kuibua hisia hasi na madai ya uhujumu wa fedha za umma kwa baadhi ya maafisa wa Halmashauri ya jiji hilo leo, Jumatatu Aprili 15.2024 Halmashauri hiyo imekanusha vikali madai hayo. Akizungumza na wanahabari ofisini kwake Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri hiyo Mhandisi Juma Hamsini amesema madai ya Chambulo ambaye…

Read More

Na Geofrey Stephen  Waziri  wa fedha Zanzibar ,Saada Mkuya  akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Mkutano huo  jijini Arusha leo. Rais wa Taasisi ya Wakaguzi wa ndani Tanzania ,Zelia Njeza  akizungumza kuhusiana  na mkutano huo. Makamu wa Rais Dk  Philip Mpango  anatarajiwa  kuwa mgenirasmi katika ufunguzi wa  mkutano wa kumi wa wakaguzi wa  ndani kutoka ndani na nje ya nchi unaofanyika mkoani Arusha kwa muda wa wiki moja. Akizungumza mkoani Arusha na waandishi wa habari kuhusu mkutano huo ,Waziri wa fedha  serikali ya mapinduzi  Zanzibar ,Saada Mkuya  amesema kuwa mkutano huo ni muhimu sana kwa wakaguzi  hao wa ndani  kwani…

Read More

Mkulima maarufu wa zao la Vanilla hapa Nchini Saimon Mkodya shabiki la kutupwa wa timu ya Simba ametekeleza ahadi yake aliyo weka endapo Simba itapata magoli katika mechi yake dhidi ya timu ya Ihefu yenye maskani yake kwa sasa Mkoani Singida. Akizungumza na Vyombo vya habari jijini Arusha Mkondya amesema atatoa Nguruwe wa Shilingi Milioni tatu  kwa mchezaji wa Simba aliye funga goli pekee la penati katika mchezo wa simba na timu ya ihefu Fc  ya Mkoani Singida iliyo toka sare na Simba kwa kufungana bao moja kwa moja Amesema atauza Nguruwe Elfu moja kwa lengo la kufanya usajili mkubwa…

Read More

Na Geofrey Stephen Arusha . Rais Mstaafu wa Serikali ya nne na Mjumbe wa Baraza la Kutokomeza Malaria Duniani, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea maelekezo kutoka kwa mkemia wa maabara ya kutengenza dawa za kuulia mbu wanaoambukiza ugonjwa wa malari, Kituo cha Utafiti cha Africa Technical Research Center na kupokelea na Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha A-Z, Kalpesh Shaha na uongozi wa kiwanda hicho, jijini Arusha leo Aprili 13, 2024 Dkt.Kikwete ameambatana na mkewa maka Salma Kikwete (Mbunge wa Jimbo la Mchinga) ametembelea kituo hicho cha Utafiti pamoja na Kiwanda cha A-Z kujionea hali ya utengenzaji wa dawa za kudhibiti usugu…

Read More

Emirates awarded certified autism center designation for all check in facilities in Dubai Dubai, April 12: Furthering Dubai’s commitment to accessible travel Emirates has achieved a Certified Autism Center Designation for all of its Dubai check in facilities. The certification, awarded by the International Board of Credentialing and Continuing Education Standards (IBCCES) ensures that all Emirates facilities in Dubai have taken a significant step towards making travel more inclusive and accessible to neurodiverse. customers, meeting criteria required for a comfortable and supported travel experience The facilities include Emirates City Check-In & Travel Store, Emirates Cruise Check In – Port Rashid,…

Read More