Site icon A24TV News

RAIS MWINYI AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM

Na Mosses Mashala .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ameondoka Zanzibar na kuwasili Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Machi 2024.

Rais Dk.Mwinyi atashiriki Mashindano ya Tajweed ukumbi wa JNICC na Mashindano ya Kimataifa ya kuhifadhi Quran yatakayofanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa yaliyoandandaliwa na Taasisi ya Al Hikma.Foundation

Mwisho