Site icon A24TV News

RAIS HUSSEN MWINYI AMEMTEMBELEA MJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA .

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amemtembelea na kumjulia hali aliyekuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Bi Asha Simba Makwiga aliyelazwa Hospitali ya Mnazi Mmoja akiendelea kutibiwa tarehe :18 Machi 2024

Mwisho.