Site icon A24TV News

RAIS DK.MWINYI AWAAPISHA MAKATIBU WAKUU NA NAIBU MAKATIBU WAKUU ALIOWATEUA

Na Mwandishi wa A24tv.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amewaapisha Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali na Mhasibu Mkuu wa Serikali aliowateua hivi karibuni iliyofanyika Viwanja vya Ikulu Mnazi Mmoja, Zanzibar tarehe: 8 Machi 2024.

 

Walioapishwa kuwa Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu wakiwemo;

1. Ndugu. Ali Khamis Juma Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo

2. Khadija Khamis Rajab Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi

3. Dkt. Aboud Suleiman Jumbe Katibu Mkuu Wizara ya Utalii na mambo ya Kale.

4. Dkt. Mngereza Mzee Miraji Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi.

5. Ndugu. Fatma Mabrouk Khamis Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda.

6. Dkt. Habiba Hassan Omar Katibu Mkuu Wizara ya Afya

7. Ndugu. Khamis Suleiman Mwalim Katibu Mkuu (Uchumi na Uwekezaji) Ofisi ya Rais Kazi, Uchumi na Uwekezaji.

8. Captain. Hamad Bakari Hamad Katibu Mkuu Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi.

9. Dkt. Said Seif Mzee Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda.

10. Ndugu. Rashid Ali Salim Naibu Katibu Mkuu (Uchumi na Uwekezaji) Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji.

11. Ndugu. Mzee Ali Haji Naibu Katibu Mkuu (Katiba na Sheria) Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora.

12. Ndugu. Khatib Mwadini Khatib Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.

13. Ndugu. Omar Haji Gora Naibu Katibu Mkuu (Utumishi na Utawala Bora) Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora.

14. Ndugu. Mwanakhamis Adam Ameir Naibu Katibu Mkuu (Taaluma) Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali.

15. Ndugu. Mhaza Gharib Juma Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Maendeleo ya Makaazi

16. Ndugu. Khalid Masoud Waziri Naibu Katibu Mkuu (Utawala) katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali

17. Dkt. Mzee Suleiman Mndewa Naibu Katibu Mkuu (Mawasiliano) Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi

18. Ndugu. Zahor Kassim Mohamed El Kharous Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi.

19. Ndugu. Makame Machano Haji Naibu Katibu Mkuu (Ujenzi na Uchukuzi) Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi

20. Ndugu. Hamad Saleh Hamad Mhasibu Mkuu wa Serikali

Hafla hiyo ya uapisho imehudhuriwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali, Vyombo vya ulinzi na usalama, Dini na Vyama vya Siasa.

Mwisho .