Site icon A24TV News

RAIS DK.MWINYI APOKEA POLE KUTOKA KWA MHE.HAFIDH AMEIR

Na Mosses Mashala .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole Ikulu Zanzibar kutoka kwa Mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Hafidh Ameir kufuatia kifo cha Baba yake Mzazi, Mwenyekiti wa CCM Taifa Mstaafu, Rais Mstaafu wa Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi aliyefariki dunia tarehe: 29 Februari 2024, Dar es Salaam na kuzikwa tarehe: 02 Machi 2024, Mangapwani, Mkoa wa Kaskazini Unguja .

Mwisho .