Site icon A24TV News

RAIS DK.MWINYI AJUMUIKA NA WANANCHI WA MKOA WA MJINI MAGHARIBI KATIKA FUTARI*.

Na Mosses Mashala

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi wakiwemo watu wenye mahitaji maalumu , Wajane, Yatima ,Wazee na Masheikh katika Futari aliyowaandalia katika ukumbi wa Idrissa Abdul-Wakil Kikwajuni Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe: 25 Machi 2024.

Mwisho .