Site icon A24TV News

CHADEMA WAFANYA MAANDAMANO MAKUBWA ARUSHA BEI YA BIDHAA ISHUKE SUKARI AISHIKIKI IMEKUA DILI,

Chadema yatikisa Arusha walia na bei juu kwa bidhaa wanachi wafurika kusikiliza bionhozi wa Chadema Taifa Mbowe Lisu Lema waongoza maandamano mbua kubwa yanyesha wananchi wavumilia wafika katika viwanja vya mkutano

Tamaza picha katika matukio mbali mbali ya maadamano na mkutano mkubwa wa chadema biwanja vya Reli Jijini Arusha .