Site icon A24TV News

ASKOFU MASANGWA AKOSHWA NA MCHUNGAJI ALIYETUMIKIA KANISA KWA MIAKA34 AMEACHA ALAMA KUBWA

Askofu Mkuu wa kanisa la KKKT Dayosisi ya kaskazini kati Doctar Solomon Massangwa amekoshwa na utumishi wa Mchungaji aliye maliza muda wake na kustaafu baada ya kutumikia nafasi iyo kwa muda wa miaka 34 huku akitumika.katika nafasi mbali mbali kusaidia jamii

Askofu ameyasema ayo wakatika wa ibada takatifu ya kumstaafisha Mchungaji Israel Meitamei ibada iliyo fanyika usharika waSalei ambapo amesema mchungaji Israeli ajituma na.kujitoa katika kufanya.kazi ya.pamoja na jamii bila kusukumwa.

Mwisho