Site icon A24TV News

WAZIRI PINDI CHANA AZINDUA BODI MPYA TAWIRI AITAKA KUFANYA KAZI KIDIGITAL

Waziri wa mali asili na utalii Pindi Chana ameitala bodi mpya ya mamlaka ya utafiti wa wanyama pori nchini Tawiri kuongoza mamlaka iyo kidigital na kuongeza idadi ya watalii nchini kwa kufikia million tano kwa mwaka 2025

Ameyasema ayo wakati wa uzinduzi wa bodi mpya ya sita ya  mamlaka ya usimamizi na utafiti  wa wanyama pori tawiri waziri chana amesema kwa kushirikiana na mamlaka ya wanyama pori kuendeleza sekta ya utalii ambapo bidi iyo mpya ndio majukumu yao

Amesema endapo wataongeza watalii watainua mapato ya sekta ya utalii ambapo kwa sasa mapato ya mchango wa utalii kqa serikali  asilimia 17 hivyo kuna umuhimu wa kuongeza pato katika sekta ya utalii na tawiri kupitia bodi yake itashauri namna ya kufikia malengo ayo

Waziri amesema kwamba bodi iyo ifike wizarani kueleza changamoto ambazo zitawafanya wasifikie malengo yqo katika swala zima la utafiti wa wanyama pori kwaninwizara iko tayari kutatua changamoto izo na lufikia malengo ya kuboresha tafoti za wanyama pori nchini

“Nichukue fursa hii kuwapongeza Tawiri kwa kazi nzuri wanao fanya katika tafiti za wanyama pori kwani tunaona kazi kubwa mnayo fanya yenye matokeo makubwa ya kubadilisha mamlaka hii ya utafiti wa wanyama pori ambapo kwa ushirikiano mkubwa kutoka kwa Mh Rais wetu Mpendwa anafuraishwa na kazi ya Tawiri ” Amesema waziri Chana

Waziri pia amesisitiza bodi kufanya kazi kidigital kwani tafiti nyingi za sasa zinafanyika kwa njiq ya digital hivyo basi katika utumishi waweze kufanya kazi izo kwa urais kwa kutumia teknolojia ya kisasa ya digital kuendana na wakati katika utafiti wa wanyama pori

Ameeleza wizara itaendelea kuweka mikakayi ya kuboreesha majengonya utafiti katika mkoa wa Arusha na Nje ya arusha kwani kumekua na ukuwaji wa kasi sana katika ukuaji wa utafiti wa sekta ya wanyama pori