Facebook Twitter Instagram
    Facebook Twitter Instagram
    A24TV News
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    A24TV News
    Home»Elimu»MKURUGENZI WA BANK YA DUNIA ARIDHISHWA NA UWEKEZAJI UNAOFANYWA NA SERIKALI YA TANZANIA..

    MKURUGENZI WA BANK YA DUNIA ARIDHISHWA NA UWEKEZAJI UNAOFANYWA NA SERIKALI YA TANZANIA..

    0
    By arushatv on November 27, 2022 Elimu, Habari

    Na Geofret Stephen Arusha

    MKURUGENZI WA BANK YA DUNIA KWA NCHI YA TANZANIA,MALAWI,ZAMBIA NA ZIMBABWE NATHAN BALETE AMEONESHWA KURIDHISHWA NA UWEKEZAJI KUBWA UNAOFANYWA NA SERIKALI YA TANZANIA KWA KUSIMAMIA MIRADI MBALI MBALI IKIWEMO MRADI WA NISHATI MBADALA WA KIKULETWA ILIYOPO WILAYANI HAI  MKOANI KILIMANJARO.

    MRADIO HUO WA DOLLAR MILIONI 6 WENYE LENGO LA KUONDOA CHANGAMOTO YA UMEME HUKU AKIELEZA NIA YA BENKI HIYO KATIKA KUWEKEZA KWA VIJANA WA KIAFRIKA KATIKA KUSIMAMIA MIRADI INAYOFADHILIWA NA BENKI HIYO.

    AMESEMA WAO KAMA SEHEMU YA MRADI HUO WANAFURAI KUONA HITIADA KUBWA ZA CHUO HICHO CHA ATC LUSIMAMIA VYEMA MIRADI YA MAENDELEO KAMA HUO WA KIKULETWA

    AMETOA KAULI HIYO MARABAADA YA KUTEMBELEA CHUO CHA A UFUNDI ARUSHA KWA  AJILI YA KUJIONEA MIRADI MBALII MBALI IKWEMO MRADI WA MAFUNZO YA UMEME JADILIFU INAYOTEKELEZWA NA CHUO HICHO AMBAYO INAFADHILIWA NA BENK HIYO 

    MSIMAMIZI WA MRADI WA MAFUNZO YA UMEME JADILIFU KIKULETWA SITHOSE MWAKATAGE AMESHUKURU BANK YA DUNIA KUPITIA KWA MKURIGENZI HUYO HAPA NCHINI KWA KUWAPA FEDHA ZA UTEKELEZAJI WA MRADI WA MAENDELEO IKIWA NI SEHEMU YA KUTATUA CHANGAMOTO ZA NISHATI KWA NCHI HIZO …

    MKUU WA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA DOKTA MUSA CHACHA AMESEMA MRADI HUO UTAWAJENGEA HESHIMA NA UAMINIFU KWA TAASISI ZINGINE ZINAZO FADHILIWA NA BANK HIYO.

    AMESEMA MKURUGENZI HUYO AMEFURAISHWA NA UJENZI WA MAJENGO YA CHUO CHA UFUNDI AMBAYO IMELUA IKISIMAMIWA NA FEDHA ZA NDANI NA KUTUMIKA KIDOGO KUKAMILISHA UNENZI WA MABWENI NA MAHABARA KATIKA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA  ….

    MWISHO

    Post Views: 174
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr WhatsApp Email
    Previous ArticleHABARI KUBWA KATIKA MAGAZETI YA LEO NA ARUSHA 24TV
    Next Article MASKINI BODA BODA ARUSHA WALIA NA MBUNGE GAMBO ! KULA MILLION 400 ! RAIS SAMIA TUSAIDIE MAGAZETI YA LEO A24TV

    Related Posts

    SERIKALI YAFUNGIA MGODI WA GEM AND ROCK VENTURE ULIOKO MIRERANI

    March 20, 2023

    TRA CHUNYA KUSAMBAZA ELIMU YA MLIPA KODI KWA WACHIMBAJI WA DHAHABU.

    March 16, 2023

    Wizara ya Madini imefanikiwa kutaifisha madini ya Tanzanite yenye uzito wa kilo 4 yenye thamani ya mamilioni ya fedha  kutoka kwa Meneja wa Mgodi wa Gem & Rock Venture

    March 16, 2023

    DKT. KIRUSWA AZINDUA MFUMO WA USHIRIKISHWAJI WA WATANZANIA KATIKA SEKTA YA MADINI

    March 16, 2023

    Leave A Reply Cancel Reply

    Facebook Twitter Instagram Pinterest
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    © 2023 a24tv. Designed by Ishimax Ltd.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.