Facebook Twitter Instagram
    Facebook Twitter Instagram
    A24TV News
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    A24TV News
    Home»Habari»AMANI GULUGWA ASHINDA TUZO YA WAKURUGENZI BORA

    AMANI GULUGWA ASHINDA TUZO YA WAKURUGENZI BORA

    0
    By arushatv on November 28, 2022 Habari

    Na mwandishi wa A24Tv .

    (Mr. Amani Golugwa ameshinda tuzo ya THE TOP 100 EXECUTIVE LIST 2022 TANZANIA AWARDS. Mr. Amani amekuwa mmoja wa washindi kwenye kundi la Wakurugenzi (CEO) wa Asasi za Kiraia (Mashirika yasiyo ya Kiserikali) na kutwaa tuzo ya MKURUGENZI BORA WA TAASISI KWA MWAKA (CEO OF THE YEAR 2022) katika mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGOs.

    Mr. Amani Golugwa ni Mkurugenzi (CEO) wa shirika la Help to Self Help lililopo Jijini Arusha, ambalo linahusika na masuala ya Elimu (Ujuzi na Ufundi Stadi), Kuiwezesha Jamii (Economic Empowerment) na Afya (Community Health).

    Tuzo hizo zilifanyika Jijini Dar es Salaam katka ukumbi wa Mlimani City tarehe 27 Novemba 2022 na kuhudhuriwa na Wakurugenzi zaidi ya 600 kutoka katika taasisi mbalimbali nchi nzima.

    Post Views: 133
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr WhatsApp Email
    Previous ArticleUmoja wa Afrika wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan katika kuhamasisha Wanawake na Vijana wa Bara la Afrika kutumia fursa kwenye biashara
    Next Article Maganya aitaka jumuiya ya wazazi kuendelea kumuunga mkono Rais Samia.

    Related Posts

    Kamati yapitisha makadirio ya matumizi na maendeleo 2023/2024 kwa Wizara Uwekezaji Viwanda na Biashara.

    March 23, 2023

    MWANDISHI WA HABARI MAARUFU ALLAN ISACK AITAKA NAFASI YA MNEC

    March 23, 2023

    Vyombo vya Dola na wanasheria kushirikiana kutokomeza ujangili Babati

    March 22, 2023

    JIJI LA ARUSHA LATOA MIKOPO YA SHILINGI BILION 2.6 KWA VIJANA WENYE MAITAJI MAALUM NA WANAWEKE

    March 22, 2023

    Leave A Reply Cancel Reply

    Facebook Twitter Instagram Pinterest
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    © 2023 a24tv. Designed by Ishimax Ltd.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.