Site icon A24TV News

MWAKILISHI WA WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA ZAMBIA ATEMBELEA BANDA LA TUME YA MADINI NA TGC KWENYE MAONESHO YA MADINI GEITA

Na Mwadishi wa A24Tv Geita

Mwakilishi wa Waziri wa Viwanda na Biashara Zambia, Kennedy Mumba akiambatana pamoja na ujumbe wake ametembelea banda la Tume ya Madini na Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC) kwenye Maonesho ya Tano ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini yanayoendelea katika Viwanja vya Bombambili, mjini Geita.

Zifuatazo ni picha za matukio mbalimbali

Wadau wa Madini wakipata maelezo kutoka banda la maonyesho ya kitaifa ya teknolojia ya madini 2022