Site icon A24TV News

Makamu wa Rais wa AngloGold Ashanti atembelea Banda la Tume ya Madini, TGC kwenye Maonesho ya Madini Geita.

Na Mwandishi wa A24Tv Geita .

Makamu wa Rais, Maendeleo Endelevu kutoka kampuni ya AngloGold Ashanti Tanzania na Ghana, Simon Shayo leo Oktoba 02, 2022 ametembelea banda la Tume ya Madini na Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC) katika Maonesho ya Tano ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini yanayoendelea katika viwanja vya Bombambili mjini Geita .

Zifuatazo picha za matukio mbalimbali.

Mwisho