Facebook Twitter Instagram
    Facebook Twitter Instagram
    A24TV News
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    A24TV News
    Home»Michezo»TIMU YA MERVES SPORT CLUB YAFANYA MAUWAJI YAICHAPA 7 KWA 3 MOSHI DC VETERAN

    TIMU YA MERVES SPORT CLUB YAFANYA MAUWAJI YAICHAPA 7 KWA 3 MOSHI DC VETERAN

    0
    By arushatv on September 24, 2022 Michezo

    Tim ngumu ya Merves Hotel ya jijini Arusha imeangushia kichapo kizito Timu ya Maveteran ya Moshi Dc  Goli saba kwa tatu na kuendelea kujiwekea historia ya Timu ngumu katika ukanda wa Arusha inayo toa dozi.

    Mechi hiyo ya aina yake iliyo chezwa katika uwanja wa sinoni jijini Arusha na kushughudiwa na maelfu wa mashabiki wa mpira jijini Arusha ilikua ya aina yake kutokana na vikosi kua moto

    Akizungumza na A24Tv  Meneja wa Timu hiyo Mathayo Peter Kabaa Amesema kwamba timu yake imefanya vyema kutokana na mwendelezo mzuri wa kujifua kuelekea michuano mbali mbali

    Kabaa amesema lengo la mashindano hayo ni kuimarisha ulinzi na usalama katika wilaya ya Arusha pamoja na kutangaza biashara ya hotel ya kisasa ya Merves Hotel hilioko Philips Jijini Arusha

    Magoli Hayo yamewekwa nyavuni na Laizer ambaye ametikisa nyavu mara tatu mfululizo ,huku magoli mengine yakiwekwa nyavuni na mshambuliaji hatari Cliton Akifunga goli moja ,Joshua goli moja Rasta akifanya kufuru la ya magoli mawili kwa upande wa Merves Sport club .

    Huku wapinzani wao wakipata penat moja na mfungaji wa magoli mawili ni Bwana senga .

    Post Views: 119
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr WhatsApp Email
    Previous ArticleKADA WA CHADEMA ATEKWA ! MTENDAJI WA KATA AKAMATWA MAGAZETI YA LEO NA A24TV
    Next Article SELASINI MWENYEKITI MPYA NCCR MAGEUZI MAGAZETI YA LEO NA ARUSHA 24TV

    Related Posts

    SHABIKI WA KILABU YA YANGA AJITOSA KUMSAPOTI RAIS KWA KUTOA LAKI TANO KWA KILA GOLI

    March 10, 2023

    MR & MISS MAZUBU GRAND HOTEL KUWASHA MOTO MIRERANI

    January 1, 2023

    BONANZA LA MIAKA 5 YA KAMPUNI YA MATI SUPER BRANDS LIMITED NI HISTORIA MANYARA  

    December 30, 2022

    Mzuka Nusu Fainali Chemchem CUP 2022 kuanza leo kuwania mamilion Babati.

    November 2, 2022

    Leave A Reply Cancel Reply

    Facebook Twitter Instagram Pinterest
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    © 2023 a24tv. Designed by Ishimax Ltd.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.