Facebook Twitter Instagram
    Facebook Twitter Instagram
    A24TV News
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    A24TV News
    Home»Habari»RC NJOMBE APIGA MARUFUKU WATOA MIKOPO UMIZA KUWARUBUNI WALIMU SHULENI

    RC NJOMBE APIGA MARUFUKU WATOA MIKOPO UMIZA KUWARUBUNI WALIMU SHULENI

    0
    By arushatv on September 16, 2022 Habari

    Na Emmanuel mkulu

    Mkuu wa mkoa wa Njombe anthony_mtaka amesema ifike wakati walimu wasiendelee kutapeliwa na mikopo umiza ilihali walimu wamekuwa muhimu na wenye tija katika taifa.

    Ametoa kauli hiyo wakati wa uzinduzi wa Programu ya benki ya NMB mkoani Njombe ya Walimu spesho ambayo amesema inapaswa iwe suluhisho la utapeli wanaofanyiwa walimu nchini.

    vicky_bishubo Mkuu wa Idara ha biashara za serikali wa Benki amesema NMB Mwalimu spesho imelenga kuwasaidia walimu kupata mkopo wa kujiendeleza kielimu pamoja na kilimo kwa riba isiyozidi asilimia 9 sambamba na mikopo ya biashara ndogondogo na bima.

    Amesema benki hiyo inawatambua walimu kuwa ni watu muhimu katika jamii na wateja wao wakubwa hivyo imeona ni muhimu kuwaanzisha huduma ya Mwalimu spesho.

    Baadhi ya walimu walioshiriki uzinduzi wa programu hiyo akiwemo Kilian Msemwa wamesema Programu hiyo itakwenda kuwafuta machozi kutokana na adha kubwa wanazokabiliana nazo kutoka kwa wakopeshaji fedha wa mitaani.

    Post Views: 119
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr WhatsApp Email
    Previous ArticlePANYA RODI TISHIO POLISI WAMWAGWA KILA KONA DAR , MAGAZETI YA LEO NA A24TV
    Next Article Viongozi wa mila wasaini makubaliano kukubali mradi wa bomba la mafuta

    Related Posts

    SERIKALI YAFUNGIA MGODI WA GEM AND ROCK VENTURE ULIOKO MIRERANI

    March 20, 2023

    TRA CHUNYA KUSAMBAZA ELIMU YA MLIPA KODI KWA WACHIMBAJI WA DHAHABU.

    March 16, 2023

    Wizara ya Madini imefanikiwa kutaifisha madini ya Tanzanite yenye uzito wa kilo 4 yenye thamani ya mamilioni ya fedha  kutoka kwa Meneja wa Mgodi wa Gem & Rock Venture

    March 16, 2023

    DKT. KIRUSWA AZINDUA MFUMO WA USHIRIKISHWAJI WA WATANZANIA KATIKA SEKTA YA MADINI

    March 16, 2023

    Leave A Reply Cancel Reply

    Facebook Twitter Instagram Pinterest
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    © 2023 a24tv. Designed by Ishimax Ltd.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.