Facebook Twitter Instagram
    Facebook Twitter Instagram
    A24TV News
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    A24TV News
    Home»Habari»Sheikh Shafi Muhammad Memon Awasihi wananchi

    Sheikh Shafi Muhammad Memon Awasihi wananchi

    0
    By arushatv on August 9, 2022 Habari

    Sheikh Shafi Muhammad Memon
    wa Mikoa wa Arusha, Kilimanjaro na Manyara.

    Jumuiya ya Waislamu Wa Ahmadiyya

    Ameshauri wananchi kwa ujumla  kwamba katika mazingira yoyote na hali yoyote, daima

    Kauli hiyo ametoa wakati wa kufunga maonyesho ya wakulima nane nane yaliofanyika katika viwanja vya taso njiro Jijini Arusha 

    jitahidini kuwakilisha picha halisi ya Islam katika kila mwenendo na tabia yenu.
    Muwe na mwenendo sahihi na mjaribu kuonyesha mfano wa tabia bora kabisa kama wananchi katika nchi mnamoishi. Daima muwe watii kwa taifa lenu na msipingane na
    serikali yenu kwa namna ambayo itakuwa ni kinyume na sheria za nchi.

    Muwe watii kamili kwa serikali na bilashuruti mtoe kila aina ya ushirikiano. Ni lazimaa.

    muonyeshe mapenzi kwa nchi yenu – hii ni kwa sababu haya ndiyo mafundisho ya
    Mtume wetu Mtukufu s.a.w. ambaye ametuelekeza kwamba ‘Mapenzi kwa nchi yake
    ni sehemu ya imani ya mtu’.

    Kiongozi huyo aligawa vitabu vya dini  ikiwa ni sehemu ya kuendelea kuweka imani kubwa kwa viongozi waliopata dhamana kuongoza wananchi 

    Post Views: 214
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr WhatsApp Email
    Previous ArticleWAKENYA KUAMUA LEO NI RUTO AU RAILA KUINGIA IKULU! MAGAZETI YA LEO A24TV
    Next Article RAIS SAMIA AWALILIA WALIO POTEZA MAISHA KATIKA AJALI ! MAGAZETI YA LEO A24TV

    Related Posts

    Kamati yapitisha makadirio ya matumizi na maendeleo 2023/2024 kwa Wizara Uwekezaji Viwanda na Biashara.

    March 23, 2023

    MWANDISHI WA HABARI MAARUFU ALLAN ISACK AITAKA NAFASI YA MNEC

    March 23, 2023

    Vyombo vya Dola na wanasheria kushirikiana kutokomeza ujangili Babati

    March 22, 2023

    JIJI LA ARUSHA LATOA MIKOPO YA SHILINGI BILION 2.6 KWA VIJANA WENYE MAITAJI MAALUM NA WANAWEKE

    March 22, 2023

    Leave A Reply Cancel Reply

    Facebook Twitter Instagram Pinterest
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    © 2023 a24tv. Designed by Ishimax Ltd.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.