Facebook Twitter Instagram
    Facebook Twitter Instagram
    A24TV News
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    A24TV News
    Home»Habari»TUNABOMOA WENYEWE KUPISHA MAENDELEO TUKO PAMOJA NA RAIS SAMIA

    TUNABOMOA WENYEWE KUPISHA MAENDELEO TUKO PAMOJA NA RAIS SAMIA

    0
    By arushatv on June 18, 2022 Habari

    Wananchi wa kata ya Daraja Mbili jijini Arusha kwa pamoja wamekubaliana na kauli za Viongozi wao wa kata Akiwemo Mh Diwani wa kata Hiyo Prosper Msofe na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mrisho Mashaka Gambo kubomoa Nyumba zao Wenyewe kupisha bara bara ya Lami

    Wakizungumza na vyombo vya Habari wananchi hao wamesema wamekubaliana kwa kauli moja kubomoa nyumba zao pembe zoni mwa bara bara kupisha ujenzi wa bara ya kiwango cha lami inayo fadhiliwa na World Bank

    Wananchi hao wamesema wamefuraishwa na jitiada za Mh Rais kuwaletea Maendeleo katika kata jambo ambalo linaleta maendeleo katika kazibya kata na wananchi kupata maendeleo ya araka

    Wamesema wanampongeza sana Mh rais pamoja na Mbunge bila Kumsahau mpambanaji wao Diwanin Msofe ambaye katika ahadi zake za kuomba nafasi ya kuwatumia aliwaidi kuleta bara bara ya lami na ametimiza hilo

    A24Tv imeshuhudia zoezi hilo wananchi wakibomoa nyumba zao wenyewe huku wakiamasisha wananchi wenzao kutimiza zoezi hilo mapema kwani kufikia tarehe 1 mwezi july 2022

    Kwa upande wake Diwani Prosper Msofe Amesema anamshukuru sana Mh Rais Samia Suluhu Hassan kwa jitiada zake za kuakikisha wananchi wanapata bara bara kuanzia ngazi ya mtaa hadi kata.

    Msofe amesema kinachofanyika kwa sasa ni jitiahada za kuakikisha kata yake inapata maendeleo kwa bara bara zake kua katika kiwango cha lami.

    Mwisho .

     

    Post Views: 89
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr WhatsApp Email
    Previous Article20 MBARONI KWA MAUAJI LOLIONDO MAGAZETIBYA LEO NA A24TV
    Next Article MAGAZETI YA LEO NA A24TV KUHUSU KODI UMRI WA MIAKA 18 WAZIRI AFAFANUA

    Related Posts

    Kamati yapitisha makadirio ya matumizi na maendeleo 2023/2024 kwa Wizara Uwekezaji Viwanda na Biashara.

    March 23, 2023

    MWANDISHI WA HABARI MAARUFU ALLAN ISACK AITAKA NAFASI YA MNEC

    March 23, 2023

    Vyombo vya Dola na wanasheria kushirikiana kutokomeza ujangili Babati

    March 22, 2023

    JIJI LA ARUSHA LATOA MIKOPO YA SHILINGI BILION 2.6 KWA VIJANA WENYE MAITAJI MAALUM NA WANAWEKE

    March 22, 2023

    Leave A Reply Cancel Reply

    Facebook Twitter Instagram Pinterest
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    © 2023 a24tv. Designed by Ishimax Ltd.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.