Facebook Twitter Instagram
    Facebook Twitter Instagram
    A24TV News
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    A24TV News
    Home»Habari»TANZANIA YAOMBA KUCHAGULIWA KUWA MJUMBE WA BARAZA TENDAJI LA ITU

    TANZANIA YAOMBA KUCHAGULIWA KUWA MJUMBE WA BARAZA TENDAJI LA ITU

    0
    By arushatv on June 16, 2022 Habari

    Na Mwandishi wa A24Tv

    Katibu Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Duniani Bw. Houlin Zhao akiwahutubia washiriki wa Mkutano Mkuu wa Maendeleo ya Mawasiliano Duniani (ITU-WTDC-2022) katika dhifa fupi ya chakula cha mchana, iliyolenga kuendeleza ushirikiano na wadau wa mawasiliano, pembezoni mwa Mkutano Mkuu wa Maendeleo ya Mawasiliano Duniani wa Shirika la Mawasiliano Duniani (ITU-WTDC-2022), tarehe 14 Juni, 2022, jijini Kigali- Rwanda.

    Tanzania imetumia fursa hiyo kuomba uungwaji mkono ili kuchaguliwa kuwa mjumbe wa Baraza-Tendaji la ITU kwenye Mkutano Mkuu wa Shirika hilo unaotarajiwa kufanyika Septemba 2022 jijini Bucharest, Romania.

    Post Views: 62
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr WhatsApp Email
    Previous ArticleYANGA BINGWA 2021-2022 BAJETI YAGUSA KILA KONA
    Next Article MAJONZI YATAWALA PANDRI ALIYE UAWA KIJAMA AKIZIKWA MAGAZETI YA LEO A24TV

    Related Posts

    SERIKALI YAFUNGIA MGODI WA GEM AND ROCK VENTURE ULIOKO MIRERANI

    March 20, 2023

    TRA CHUNYA KUSAMBAZA ELIMU YA MLIPA KODI KWA WACHIMBAJI WA DHAHABU.

    March 16, 2023

    Wizara ya Madini imefanikiwa kutaifisha madini ya Tanzanite yenye uzito wa kilo 4 yenye thamani ya mamilioni ya fedha  kutoka kwa Meneja wa Mgodi wa Gem & Rock Venture

    March 16, 2023

    DKT. KIRUSWA AZINDUA MFUMO WA USHIRIKISHWAJI WA WATANZANIA KATIKA SEKTA YA MADINI

    March 16, 2023

    Leave A Reply Cancel Reply

    Facebook Twitter Instagram Pinterest
    • Home
    • Habari
    • Magazeti
    • Break News
    • Siasa
    • Burudani
    • Makala
    • Michezo
    © 2023 a24tv. Designed by Ishimax Ltd.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.