Site icon A24TV News

MWENGE WA UHURU WAFIKA ARUSHA WAZINDUA MIRADI 7 BILA KASORO

Mwenge wa uhuru umefika jijijini Arusha na kuzindua miradi mbali mbali ikiwemo bara bara miradi binafsi bila kuwepo na kasoro

Wakishuhudia miradi hiyo baadhi ya wadau wa maendeleo jijini Arusha akiwemo Eng. kutoka katika kiwanda kikubwa jijini Arusha cha A,Z  Eng. Rwehumbiza amesema Mh Rais anafanya kazi kubwa sana hivyo wao kama sekta biafsi wanashuhudia miradi mbali mbali ikizinduliwa bila kuwepo na kasoro .

Matukiokatika picha .mapokezi ya mwenge

Picha zikimuonyesha mdau wa maendeleo Eng. Rwehumbiza kutoka kiwanda cha A,Z jijini Arusha akishiriki mapokezi ya Mwenge wa Uhuru Jijini Arusha

Mwisho